Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana nimewasikia ndugu zetu wakilalamika kuwa Terminal 2 hakuna nyumba ya ibada. Nikajiuliza mbona pale nje kidogo ya terminal 2 mkabala na kituo cha mafuta cha Puma kuna msikiti mkubwa? Kwa nini...
6 Reactions
150 Replies
19K Views
Couple Who Served In WWII Together, Married For Seven Decades, Pass Away On Same Day Modern relationships barely last a few years and are no longer based on respect and true love. However...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Sipendi kweli na nachukia sana kuona kwamba kila mwaka tu ni Shule za Kanisa Katoliki ndizo zinafanya vyema katika Matokea ya Kuanzia Darasa la Saba, Kidato cha Pili, Kidato cha Nne na Kidato cha...
45 Reactions
169 Replies
22K Views
Habari: Toka matokeo ya Kidato cha Nne kumekuwa na mjadala kwanini Shule ya binafsi zimefanya vyema zaidi . 1. Kwanza si kweli kwamba hizi shule hazitoi zero bali wanachofanya ni kuzihamisha...
20 Reactions
135 Replies
19K Views
Ndugu wanajamvi nadhani nyie ni mashaidi wa hawa ndugu zetu wa bongo movie wamekuwa wakilalamika kuwa soko la muvi zao linakufa na Mimi naweza kusema limekufa kabisa,lakini wachawi ni wenyewe I...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yes namshukuru Mungu sana jamani kwa kila nililoomba limekwenda kutimia kwa 100% ....kwa Malengo niliyo yaandika January karibia yote yamekwisha timia... Najua mtaniona najivuna au kujigamba...
17 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wadau! Leo naomba tujadili jambo hili la kiupelelezi ili tupate majibu hapa hapa KWAMBA, TUKIO LOLOTE LA WIZI, MAJAMBAZI KUUWAWA WOTE PALEPALE NI MAKOSA YASIYO NA WELEDI, Tukio la kijambazi...
19 Reactions
112 Replies
12K Views
Habari za siku nyingi humu ndani. Niko safarini kutembelea ndugu, jamaa na marafiki. Nina king'amuzi cha DSTV full package na natembea nacho. Ninachohitaji ni kujua Hotel au Guest house nzuri...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Katika jamii ya Freemason alama ya jicho na alama ya pembe tatu ni miongoni mwa alama kuu za ibada katika jamii hiyo. Alama ya jicho (All seeing eye ) ni alama ya jicho la muungu wa kifremason...
2 Reactions
119 Replies
54K Views
[http://img2] Watoto watano wa familia moja wakaazi wa shehia ya shanake wilaya ya Micheweni Pemba, wamefariki dunia na wengine wawili wamelazwa katika hospitali ya Micheweni wakipatiwa matibabu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
SAKATA LA CAG NA SPIKA TANZANIA: DHIHIRISHO LA UWONGO WA DEMOKRASIA Habari: Vyombo vya habari vimetaarifu kuhusu maamuzi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mzee Kinkii kii anasema tangu asaini mikataba ya ngoma zake kutumiwa na Kampuni za simu hajawahi kulamba mshiko kabisa...Mwasabwite yule wa Gospel nae anasema holaa...wasanii inaelekea wananyonywa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Serikali imesema kutokana na mkanganyiko kuhusu sheria ya udhibiti wa uzito wa magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa baadhi ya wadau wakiwamo wasafirishaji, sheria hiyo sasa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya watu wanakutafuta tu wakiwa na shida ya hela tuu mpaka inafika hatua ukiona simu zao au kakutumia meseji ujue kinachofata hapo ni kibomu cha pesa Kibaya zaidi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimetafakari sana na kugundua kuwa kumbe nchi baadhi za Africa hazijawa huru. Kushuhudia nchi za Africa zikipitisha sheria rasmi kuruhusu ushoga mie naona kama bado hazijakombolewa na kuna umuhimu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wataalamu wa mawazo na wanazuoni: Inaelekea watu wengine sifa za msingi na Kuu za Mungu hawazijui. Inaelekea kana kwamba baadhi ya dini hazijachukua wala kutenga muda wa kutosha kusoma Falsafa...
11 Reactions
35 Replies
5K Views
Watu husema usichokiamini wewe wenzako wanakiamini hivyo ni bora ukaheshimu imani ya mwenzako. Mara nyingi sana nikipitia katika baadhi ya post zihusuzo dini huona watu wakinyukana na kukshifiana...
26 Reactions
112 Replies
12K Views
Zoenzi la kuwatafuta walowezi au wahamiaji haramu ktk nchi yetu ni muhimu kwa usalama wa nchi yetu. Msako huu ufanywe kila kona, nyuma kwa nyumba, mahotelini ,viwandani nk. Tunaona nchi jirani...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
DIV. 1= 7-13 DIV. 2=14-18 DIV. 3=19-22 DIV. 4=23-27 DIV. 0=28-35 HIYO NI KWA MUJIBU WA WAZIRI WA ELIMU LEO JOYCE NDALICHAKO. AMESEMA ITAANZA KUTUMIKA MWAKA 2018 KWA FORM TWO NA FORM FOUR .
24 Reactions
222 Replies
76K Views
Leo Nimekutana na member wa JF. kiukweli nimefrahi sana tulikubaliana siku ya jumamosi kuwa tukutane maali, nikweli leo tumekutana na ilikuwa bonge la furaha. Ninyi watu sana mliojitoa mhanga...
1 Reactions
117 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…