N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,318
- 12,824
Mzee Kinkii kii anasema tangu asaini mikataba ya ngoma zake kutumiwa na Kampuni za simu hajawahi kulamba mshiko kabisa...Mwasabwite yule wa Gospel nae anasema holaa...wasanii inaelekea wananyonywa sana na hawa jamaa wa miito ya simu...sasa TCRA imegongelea msumari mapato ya miito itakuwa nusu kwa nusu hadi Juni muafaka utakapopatikana.
Chibu kule Instagram kafurahi sana
Mapato ya miito sasa pasu kwa pasu wasanii na makampuni ya simu
Mapato ya miito sasa pasu kwa pasu wasanii na makampuni ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chibu kule Instagram kafurahi sana
Mapato ya miito sasa pasu kwa pasu wasanii na makampuni ya simu
Mapato ya miito sasa pasu kwa pasu wasanii na makampuni ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app