Serikali za Uganda na Tanzania zimekubaliana kuwa, majadiliano mbalimbali yanayohusu utekelezaji wa mradi wa Bomba la mafuta Ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania yakamilike ifikapo mwezi...
Leo wakazi wa Hagafilo wameshuhudia mwili wa mtoto wa kike anayesadikilika kuwa na miaka 10 mpaka 12 umeokotwa ndani ya mto Hagafilo.
Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo(akiwepo Jirani yangu)...
Wanasayansi wamefanikiwa kukuza kuku ambao watakuwa wakitaga mayai yenye uwezo wa kutibu ugonjwa wa kansa.
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Dr. Lissa Herron na timu yake kutoka chuo cha...
Wakuu poleni.
Leo naona tujadili kidogo juu ya anga. Mimi kimtazamo naona angani sio duniani , kwasababu dunia ndo inayozunguka kwenye anga.nyie mnaonaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naamini hapa ni kisiwa cha maarifa, naombeni kusaidiwa maana ya majina hayo kibiblia/kiimani, yanamaana gan?
Na wanahistoria gani kiimani,? Asanteni.
1. Vodacom kuaccess mobile banking lazma uwe na hela kwenye line yako ya vodacom, sasa kama nataka kununua vocha inakuwaje? Mbona tigo hawana hayo mambo. Naomba mbadilishe huu utaratibu.
2. Pili...
Nimekua nasikiliza kipindi cha Power Breakfast cha Clouds, kipindi kina mengi mazuri na hongera kwao kwa hayo japo pia kuna dosari kadhaa kama kujikweza, kusimulia matangazo, umuch know mwingi nk...
Hali ya amani katika kisiwa cha mafia imetoweka kabisa.
Watu wanaodaiwa kuwa ni wanajeshi wa JWTZ wanawapiga, kuchoma moto nyavu na kuwapora maboti wavuvi. Aidha wavuvi hao wanakamatwa kupotezwa...
Siku tatu tangu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando aachiwe huru upande wa jamhuri umekata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya...
Nahitaji nipate vyeti vya vifo vya wazazi wangu( death certificate) kibaya sina taarifa zozote za hospital za kuhusu hili suala pia nipo mkoa wa mbali kidogo si nyumbani.
Msaada je nikienda...
Binafsi sina mpango wa kupiga kura kwa utawala huu wa sasa, nawala sioni sababu ya kumshawishi hata mtu kupiga kura, kama imefika mahala mtu unaenda ofisi ya ...... Unaulizwa kwanza kadi ya CCM...
Mamia ya wakazi wa Kitongoji cha Momela kata ya Ngarenanyuki ,wilaya ya Arumeru ,mkoani hapa ,wamelazimika kuangua kilio mbele ya katibu Mkuu wa UWT,ccm Taifa,Queen Mlonzi,pale walipokuwa...
UUNGANISHAJI maji ya Mamlaka ya Majisa na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kwa mkopo umeshika kasi katika maeneo mbalimbali huku mamlaka ikisema inakwenda hatua kwa hatua na wakazi wote jijini...
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.
Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye...
Baada ya kupigwa ban kwa muda wa takriban wiki moja na kuwa msomaji tu wa mambo mbali mbali ikiwemo matokeo ya kidato cha nne basi leo nimefunguliwa rasmi na kuona na mimi nitoe maoni yangu juu...
Habari wana jamvi nishawah pata message kuwa kuna namba unatuma ili kupata message ya luku iliyochelewa au uliyofuta bahati mbaya kama kuna mtu anakumbuka naomba anijuze
MKURUGENZI Msaidizi wa Huduma za Ustawi wa Jamii, Osi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Rasheed Maftah ameagiza kuunganisha mifumo inayokusanya taarifa katika Mamlaka ya...
ni ngumu kusadifu!
Pamoja na kwamba wengi huimba mapambio na kusujudu kwenye nyumba za ibada,
lakini ukweli ni kwamba ile ni kama SHOW OFF! tu, lakini nyuma ya pazia watu wana miungu yao...
Nukuu za Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka.
“Kwanza kabisa huwa nasema hata nikikutana na wafanyakazi wenzangu kwamba ningependa kuona TANESCO ambayo inafanya kazi ufanisi na ndiko...