Habarini,
Maendeleo yanafanyika na Miundombinu inaboreshwa. Kuna hili kundi la watumishi toka 2015 limesahaulika sana, kazi hawataacha na wanaishi kwa malalamiko.
TUCTA wanakula bata mjini tu...
Jeshi la Polisi mkoa wa Polisi Tarime / Rorya linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kumdhalilisha Rais John Magufuli kupitia mtandao wa Whatssap na linawashikilia watuhumiwa wanne kwa kosa la...
KISARAWE INAYO ONGOZWA NA JOKATE MWEGELO YAENDELEA KUTOKOMEZA ZERO. UFAULU KIDATO CHA NNE WAONGEZEKA, KUTOKA 70% (2017) HADI 82.81% (2018).
Mpango wa kutokomeza ZERO katika halmashauri ya Wilaya...
Raia wa Kenya wayalalamikia mahusiano ya kibiashara kati ya nchi yao na Tanzani
Kupitia mitandao ya kijamii wamesema ukuta unajengwa baina ya nchi hizo majirani
Aidha, wamedai kuwa bidhaa...
"Nianze kwa kusema kukumbatia UDIKITETA ni sawa na kufuga nyoka wa kiganga ndani ya nyumba;ambapo ikitokea siku umekosea masharti anakung'ata mwenyewe"
HUKO UGANDA
Wakati ikiwa takribani ni mwaka...
Wakuu umuofia kwenu,
Kuna dada alikuwa anasoma Mwl Nyerere baadae akaenda Ujerumani namtafuta sana mwenye kujua mawasiliano naomba msaada,
Pangu Pakavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuaje kulipa watu inachukua muda kiasi hiki? Visingizio, tunabadilisha mifumo. Ninacho jua, mifumo hubadilishwa mapema.
Hivi waliofukuzwa kazi nao wanamajuku kama yenu. Walio staafu hivo hivyo...
Wakuu.........
Hivi humu hamna watendaji wa Azam wanaoona machapisho yetu na kutoa majibu stahiki?
Ni mda sasa wateja wenu tumekua tukisubiri kwa hamu kurudishwa kwa chanel za ndani.
Tupeni...
Nimetafakari Sana namna ccm inavyohujumu upinzani inavyowafanya wapinzani kuwatesa kuwabambikia kesi kuwauwa nk
Natoa rai siku mkishika madaraka upinzani muwapimie ccm kipimo kilekile...
Serikali imesitisha uvuvi wa dagaa Hali iliyoathiri uchumi wa wavuvi na wachuuzi wa samaki huku mikoa ya pwani
Kama kweli serikali hii Ni ya wanyonge mbona inatukandamiza ss watu wa Hali ya...
01.👉 Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02.👉 Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi...
Wadau hamjamboni!
Niempata taarifa za kufurahisha kuwa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimpepata bahati ya kuwa na mteule wa kisomi mwenye hadhi ya Professor anayeenda kwa jina la E.M...
Mengi yameongelewa kuhusu ufaulu wa safari hii wa ST Francis secondary yaani nusu ya darasa kupata division one za point 7.Point saba kwa kidato cha nne ndio kiwango kikubwa cha ufaulu, Wengi...
Waungwana salaam!
Kama mjuavyo kuwa nchini Tanzania bado mahakama ya kadhi haijaruhusiwa. Mfumo wetu uliopo wa kimahakama hauaccomodate mahakama ya kadhi.
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo...
Habari za muda huu wadau.
Bila kupoteza muda,niende kwenye mada.Nimeshuhudia hivi punde meli ya kifahari duniani inayomilikiwa na shirika la Oceania ikitia nanga kwa tabu sana hapa...
Kwa masikitiko Makubwa , chama cha wanasheria Zanzibar jana 30-1-2019 "kimeua" mawakili toka Bara.
ZLS kimeua vijana waliosoma TUMAINI UNIVERSITY na wengine RUCO.Chama hicho , kwa tamaa ya fedha...
WATENDAJI wa mifuko ya hifadhi ya jamii wametakiwa kuhakikisha wanatii na kutekeleza kwa ufanisi maagizo ya Rais John Magufuli aliyotoa kuhusu wastaafu. Waziri wa Nchi Osi ya Waziri Mkuu Sera...
Tanzania passed sweeping new laws for its extractives sector in 2017 with the objective of getting a larger share of the benefits from its mineral and gas deposits. Among other significant...
Hiki chuo inabidi kifanyiwe uchunguzi ni kwa nini hili jengo haliishi?
Nimeanza hapo masomo mpaka nikamaliza miaka minne na jengo nikaliacha hivyo hivyo nilivolikuta.
Je ni kwamba serikali...