Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wadau hamjamboni!
Niempata taarifa za kufurahisha kuwa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimpepata bahati ya kuwa na mteule wa kisomi mwenye hadhi ya Professor anayeenda kwa jina la E.M. Manamba.Hongea sana Professor Manamba kwa uteuzi huo wa kisomi naamini ni kutokana na juhudi zako za kupenda kujiendeleza ndiyo maana ukafanikiwa kuibuka kidedea.
Natambua uwezo mkubwa alio nao Proffessor Manamba lakinii kwa uchache nitaje yafuatayo:
1.Uadilifu.
2.Ukarimu.
3.Uchapakazi.
4.Kuchukia majungu.
5.Kuchukia uongo.
6. Uzalendo usiotiliwa shaka.
7.Kiu ya kujiendeleza.
Hongera sana kwa uteuzi huo naamini wenzako pale Njiro wana mengi ya kujifunza kutoka kwako.
Hongereni Menejiment ya Chuo pia naamini na nyie mbali na kuchangia mafanikio yake lakini mnayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mteule huyo.wa Uchumi.