2020 Serikali itawaambia Watumishi imewafanyia nini?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,251
Reaction score
11,926
Habarini,

Maendeleo yanafanyika na Miundombinu inaboreshwa. Kuna hili kundi la watumishi toka 2015 limesahaulika sana, kazi hawataacha na wanaishi kwa malalamiko.

TUCTA wanakula bata mjini tu, miaka inaenda. Siilazimishi serikali kutenda hivyo. Ni muhimu Vigezo na masharti ya mikataba ya ajira kuzingatiwa.

Uchaguzi ndio huo umekaribia, Je watasema wamewafanyia nini watumwa wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hakika kwamba hata kwenye kampeni Jiwe akisema "Sasa ni zamu ya watumishi kuishi kama malaika, maana wameteseka sana, nikiingia tu awamu yangu hii ya pili kabla sijafanya lolote nitahakikisha kwanza watumishi wanaongezewa mishahara yao kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu Uhuru" atapata kura karibia 98% za watumishi pamoja na za wanafamilia wao.
Watumishi wa kitanzania wengi wana mtindio wa ubongo.
Samahani watumishi wenzangu.
 
Itawaambia haitalipa hata mia, na watumishi wataandamana kumpongeza mungu JIWE.
 
Nina hakika kwamba hata kwenye kampeni Jiwe akisema "Sasa ni zamu ya watumishi kuishi kama malaika, maana wameteseka sana, nikiingia tu awamu yangu hii ya pili kabla sijafanya lolote nitahakikisha kwanza watumishi wanaongezewa mishahara yao kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu Uhuru" atapata kura karibia 98% za watumishi pamoja na za wanafamilia wao.
Watumishi wa kitanzania wengi wana mtindio wa ubongo.
Samahani watumishi wenzangu.
Wengii ni wapuuziii unakuta MTU kaminywa kila kona ila bado anasifu na kuabudu tunao maofisin mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hakika kwamba hata kwenye kampeni Jiwe akisema "Sasa ni zamu ya watumishi kuishi kama malaika, maana wameteseka sana, nikiingia tu awamu yangu hii ya pili kabla sijafanya lolote nitahakikisha kwanza watumishi wanaongezewa mishahara yao kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu Uhuru" atapata kura karibia 98% za watumishi pamoja na za wanafamilia wao.
Watumishi wa kitanzania wengi wana mtindio wa ubongo.
Samahani watumishi wenzangu.
Mimi ni defaulter mtarajiwa (almost confirmed) kwenye uchaguzi wa 2020 kama nitakuwa hai. So far sina mpango wa kupoteza muda wangu kuhangaikia upuuzi unaoitwa siasa. Nitahangaika na mambo yangu....
 
Siasa za bongo kwa sasa ni upepo wa CCM kanda ya Ziwa.
 
Back
Top Bottom