Uvuvi wa dagaa kilio Cha Wakazi wa pwani

mumewanguu

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
261
259
Serikali imesitisha uvuvi wa dagaa Hali iliyoathiri uchumi wa wavuvi na wachuuzi wa samaki huku mikoa ya pwani
Kama kweli serikali hii Ni ya wanyonge mbona inatukandamiza ss watu wa Hali ya chini,Mana uvuvi Ni moja ya chanzo kikuu Cha mapato kwa watu wa Aina tofaut tofaut na Kama serikali hii Ni ya viwanda kwann inavunja hiki kiwanda kinachozalisha ajira kwa vijana,wazee mpaka kina mama
Ikumbukwe dagaa huwa hawakui always hubaki kua dagaa

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom