Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

When Greece declined, mathematical progress in China achieved new heights. Kuanzia kupiga hesabu ya nyakati mpaka kuvuka bahari, hesabu ndio utaalamu ambao falme na ustaarabu wa watu wa kale...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
UCHAWI!MAMA NANIHII AKUTWA MAKABURINI ASUBUI LEO NDANI YA CHUO CHA USAFIRISHAJI DAR. Richard Bukos na Musa Mateja Hali ya hewa imechafuka, dhana ya uchawi inatawala vichwa vya wengi, wengine...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Historia ya kweli ni mwalimu asiyeweza kupingwa. Takwimu zinaonesha kila mwanaccm mpya akichaguliwa kuwa rais wa JMT basi anapomaliza kipindi chake cha urais huwa anaiacha sarafu ya nchi ikiwa...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Jamani acheni kukasimusha na kuoutsource bongo zetu. Lissu akisema jambo lifikirini na kulijadili sio kunywa huamini na kusherehekea. Kuna watu wanamfanya huyu Mh kama mahakama, FBI, Malaika...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Ukibahatika kuwasikiliza wanandoa wengi watakueleza kwamba mwanzo wa uchumba wao na hata mwanzo wa ndoa mambo yalikuwa bumbum. Walikuwa wanalicheza sebene kisawa sawa. Lakini baada ya kuingia...
9 Reactions
49 Replies
9K Views
Hivi karibuni kumekuwa na muamko wa watanzania kutaka kujua kuhusu biashara ya Forex.Aidha kumekua na madarasa kadhaa yakitoa elimu hiyo kwa vijana wa kitanzania na kwa bahati nzuri na mimi sikuwa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu. Natumaini wote tu wazima kwa uwezo wa Mungu wetu, imenilazimu tena kuja jukwaani ili tupeane taarifa za mawili matatu yanayojiri kila leo ktk maisha yetu ya kila siku. Baada ya kuonekana...
4 Reactions
29 Replies
8K Views
Wasaalam Kwa sasa limeibuka wimbi la wafanya biashara hasa vyombo na electronics kutembeza biashara zao kwenye magari hasa noah kupeleka kwenye taasis kama shule na kuuza kwa mkopo Kwa vile ni...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimemuona leo pale Hospital ya taifa Muhimbili kitengo cha MOI ni mgonjwa sana. Get well soon Mrema
15 Reactions
27 Replies
11K Views
Hii kitu inaniumiza sana. Kitendo cha kunyang'anywa Korosho zetu kibabe na leo kurudishiwa tena tukitangaziwa hazina viwango. Tutamuuzia nani au ndio tuzigawe bure. Mimi nashauri wazile tu hao...
8 Reactions
59 Replies
8K Views
Wale bendera fata upepo ambao kazi yao ni kelele kila kukicha wanalalama tu serikali mbovu mbovu Poleni sana. Mlikua wapi 2015 Kuchagua viongozi ambao wangewafaa, Mkaacha tuwachagulie? Twende...
1 Reactions
0 Replies
674 Views
Na Rubaba Protas Mwaka 2008 nilifanya safari ya kwanza kwenda kwenye mji ambao nilitamani kufika toka nikiwa na umri mdogo kabisa kutokana na historia yake niliyokuwa nikiisikia hasa wakati wa...
22 Reactions
121 Replies
8K Views
Wakubwa, Kama Kuna Mtu Anawafahamu Wazazi Au Hata Wakili Wa Khalfan Mshengeli Mtoto Wa Shule Ya Msingi Bunju A, Ambae Jana Alihukumiwa Kifungo Cha Maisha Gerezani, Tafadhali Wasiliana Na Wakili...
5 Reactions
91 Replies
12K Views
  • Poll Poll
Msanii wa kizazi kipya seba tommy kutoka mkoan tabora kakilalamikia chama cha wasanii wa mkoa huwo u.v.sata kuwa hakija mtendea haki katika kuifungia nyimbo take ya mboka icon, sijaona kigezo cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya askari polisi wanaboa sana kwa tabia yao ya kuomba omba hela kisa kakusaidia kesi Fulani kituoni Polisi anaomba rushwa ili aifute kesi unatoa rushwa unaachiwa si mnajua polisi...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Ninakushukuru sana Mbunge kwa kuunga mkono shirika letu la ATCL kwa kupanda ndege iliyonunuliwa na kodi za walipa kodi nchini. Huu ndio uzalendo wa kweli pamoja na kupiga kelele kwenye majukwaa...
5 Reactions
150 Replies
24K Views
Sio kwasababu tu ya yale yaliyokwisha tokea bali kwa yale yatakayotokea. Kwa wale wanaofuatilia mtiririko wa mambo pamekuwa na ajali nyingi mwezi February mwaka huu na historia inaonesha pia...
2 Reactions
2 Replies
840 Views
Mama huyu ni Moja Kati ya Waandishi wachache (Author) wa Kike Tanzania Kuwahi Kuwapata. Bi Fatuma Mohammed Salimu amefia Zanzibar alikokua akiishi hizi ni Moja Ya Kazi zake. Imagine wewe hata...
6 Reactions
41 Replies
12K Views
"Hatupumulii mashine kama wanavyodhani, hakuna wakati CHADEMA imekuwa imara kama wakati huu. Tunafanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye vikao vyetu vya ndani. Tunazunguka nchi nzima kwa ajili ya...
0 Reactions
3 Replies
852 Views
Mwanza. Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Mwanza, Jonathan Musa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kuhusiana na taarifa za watu kukamatwa na vichwa vya...
1 Reactions
33 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…