Hivi hakuna uwezekano wa nchi yetu kuweza kufungia Site ya ili Jarida la Economist linalopost/kupublish content zake kwa njia ya mtandao lisiwe linapatikana hapa nchini Tanzania,
Limezidi sasa...
Hapa leo natupa jicho kunako Co-school lakini naongelea zile shule za ST.xxxxxx(siyo zote).
WATOTO KWAO MAMBO SAFI.
Unakuta wasichana warembo wanavaa sketi mshono wa BOKSA na urefu wa sketi...
Inashangaza na ni abuse hasn’t ukitoka au ishi nchi za capitalist Kama USA unavyorudi nyumbani au huko whattasp message nisaidie hili lile.It is about time to say no na please charge interest...
Wakuu mimi nimeajiriwa kwa kaisari tangu 2015 kwa kada Fulani
Kazi nyingi ninazo zifanya kwa kaisari ni zile za kuandika barua kwenda kwenye mamlaka nyingine
Sasa nimekuwa nikipata shida sana na...
Wakuu,
Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani...
[https://2]
Mawakili maarufu nchini Tundu Lissu na Godfrey Wasonga jana nusura wazipige kavukavu na kama si busara za mawakili wengine waliokuwa wamefurika katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma na...
Ni wazi lazima kumshukuru Rais kwa kile alichofanya kwa kijana huyu aliyekuwa amebambikwa kesi.
Palepale mmeona Kamanda Msangi anasema walikuwa wameshatuma afisa mkuu lakini ukweli ni kwamba hata...
March 13, 2019
Dar -es-Salaam, Tanzania
Kumekuwepo na tatizo la nyumba nyingi katika vitongoji vya miji ya Tanzania kubomolewa kutokana na utata wa umiliki ardhi.
Mfano mwezi March 2019...
Habarin wanajamii Forum wenzang napenda kumshukur mungu kuendelea kunipa pumzi, mpaka Wakat huu
Nikienda moja kwa moja katika duku duku lang n kwa wale wanaoishi nje ya nchi, wapo walioenda kwa...
Maisha kweli ni Safari ndefu toka unazaliwa mpaka kifo Kama Mungu akikujalia kuishi miaka aliyokupangia kuishi na ukafa kifo halali yaani kifo cha uzee kwa umri.
Kwa kupitia maisha ya shule toka...
Bwana Mussa Sadiki alibambikiwa kesi ya mauaji huko Tabora! kwa mujibu wa DPP, aliandika barua ya wazi kwa Mkuu wa nchi kupitia gazeti la Majira uk 6.halijatajwa tarehe wala toleo.
Barua...
Nimeisoma hii story kuhusu wanawake mkoani Tabora kuwa wanatumia ugoro uliochanganywa na magadi ili kuzuia hamu ya tendo la ndoa.Wakenya wameuchangamkia hii ishu sana kwa comment za kuzushi. Hii...
Hii Habari nimekutana nayo Twitter, na mtoa Mada amesema Kama anaongopa basi ATC wakanushe! Chanzo ni kutolipwa pesa yao jamaa wakaamua ku-cancell. Tukiacha mihemko, hili linawezekana kurusha...
Inasadikika kwamba wachawi wanauwezo wa kutuona bila wao kuwaona kwa macho ya kawaida,inasadikika kwamba wanauwezo wa kuingia na kutoka ndani hata kama milango yetu itakua imefungwa usiku ama...
Umezuka utamaduni wa gharama kubwa kwenye mazishi.
1.mataji.
2.suti ya marehemu.
3.gharama za cement,nondo,kokoto na pesa ya kumlipa fundi.
4.vyakula vya waalikwa.
5.gari la kukodi.
6.kukodi...
Mbunge wa Jimbo la Amerumeru Mashariki Joshua Nassari amehitimu masomo yake Shahada ya uzamili, MA International Relations & Democratic Politics. na kuandika ujumbe huu ujumbe huu
=========
I...
MAFANIKIO makubwa yamepatikana baada ya Serikali ya Awamu ya Tano kuweka mkakati wa kuhamasisha ujenzi wa viwanda na kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati inayolenga kuleta maendeleo na kuboresha...
Tz kuna vijana wajinga sana. Hovyo mno.
Bastola ni silaha ya kuua binadamu mwenzio.
Maajabu ni pale mtu anapotoa bastola kutishia watu ama kuringishia watu hasa sehemu za starehe usiku. Hasa...
Na hapa nitangulize mapema kuomba tuwasamehe wote hawa wawili maana kuna maradhi yamewashika.
Sisi tunaomjua Profesa Kabudi, tunafahamu kwamba usomi, uwezo na ujuzi wake katika sheria hauna shaka...