Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu. Hivi ndio kwanza napiga mdogo mdogo hapa na mshikaki laini pembeni. Hapa naendelea kumsikiliza mzee wangu Remmy Ongala na kibao chake cha Dodoma. Wanywaji wote nchi nzima natoa wito tupige...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Muhuwesi, Tariq Mohamed(16) amefariki katika tukio la kutatanisha na kuporwa baiskeli na karanga ambazo alikwenda kizichikua shambani baada ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nipo Tanzania kwa sasa na mkoa wa Dr mchafu hakuna mfano. Hakuna utaratibu wowote wa utupaji uchafu na maeneo ya wazi yanakuwa kama dampo. Mkuu wa mkoa anashidwa kabisa na wengine kama Kilimanjaro!
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtaani hamna tena anayejua habari za TOKOMEZA ZERO bali ni MAKONDA vs PIERE. Hii kampeni ilikuwa nzito mnoo ingeweza kusambaa nchi nzima, Jokate ungekuwa umejijengea LEGACY kubwa sana kwa hii...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Tangu kuzaliwa kwangu, nikapata ufahamu na kujua taasisi za benki sijakuja kukutana na kitu cha hovyo kama Huduma za tawi moja, na niseme sio moja zaidi ya moja. Nimeona zipo dalili za hovyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ulishawahi kujiuliza kaanini Nchi za Kiafrika kwa maana ya viongozi pamoja na watu wake wengi wamegubikwa na ubinafsi, uchoyo na ubaya uliokithiri dhidi ya waafrika we wenzao? Lipo jambo moja...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Huyu ni mkuu wa mkoa, mtumishi wa umma na kijana ambaye hana historia ya kuishi nje ya ajira za kisiasa. Anazo ahadi nyingi zinazohitaji fedha na ni ahadi binafsi....je fedha hizi anazotoa wapi...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Ni jambo sahihi kwa binadamu kujaribu Ukishindwa na kusimama ndio mwendo Hakuna kukata tamaa Ila isije ikatokea tena watu wa mfumo kuleta rais mtarajiwa ambae sio kutoka external affairs...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna msemo usemao maisha ni safari ndefu kama ni ndio je ivi unazungumziaje swala la kuachwa mbali kimaisha either na marafiki au watu wako wa karibu ambao mmekuwa wote tangia mkiwa watoto na...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugani, amesema awali, Taifa halikunufaika na rasilimali madini kwa kuwa sekta hiyo haikuwa ajenda ya Kitaifa. “Madini yaliachwa kwa wabunge...
1 Reactions
1 Replies
656 Views
Tumeamua kabisa ku dramatise na maisha yetu kama taifa. Tukisahau kabisa vipaumbele vyetu na changamoto zetu.... Tukisisimuliwa na matukio yasiyo na tija ya wakosa maono, wakosa tafakuri huku...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Kiukweli kadri siku zinavyozidi kwenda nakata tamaa Naona mambo yangu hayaendi sawa kabisa japo nimesoma na najishughulisha ila hali ngumu sana Mi ni kijana mwenye miaka 31 Nina elimu ngazi ya...
9 Reactions
100 Replies
12K Views
Habari za muda huu wanajamvi, bila kupoteza muda nijikite moja kwa moja kwenye mada husika kama kichwa cha habari kinavyoashiria. Binafsi ni mpenzi mzuri na mtumiaji mkubwa wa mtandao huu wa...
11 Reactions
63 Replies
9K Views
Jeshi la polisi katika mkoa wa Kagera limefanikiwa kukamata vitu mbalimbali vilivyoporwa na watu nane wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ambao wanasakwa na jeshi hilo kwa kuteka magari mawili ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ni inaenda kwa watu wote wenye huitaji wa kukata Life Insurance kwa ajiri ya maisha yao na wategemezi wao hasa watoto, kupata elimu kipindi cha majanga ya maisha kama ajari, ugonjwa hata kifo.
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Wakuu nimeshindwa kuwaelewa hawa watu sijui wanafanyaje kazi wakija huwa na kauli nzuri wakiondoka lazima ulie.matapeli.
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Ukiingia kwenye akaunti yake na ista jamaa anajifanya ni mtu wa kuabudu sijapata kuona yani hata account za wachamungu wa kweli hazina majivuno kama yale Lakini nyuma ya pazia huyu jamaa nnje ana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Nataka kufanya harusi, kinachonisikitisha ni kwamba nikipitisha mchango sitakosa 25M. Lakini naumia kuteketeza 25M kwa siku moja. Pia naona kero kuchanga pesa za watu, nafikiria hata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndio wazo langu na fikra zangu siku ya leo Tupeni ushuhuda basi ilikuwaje,sababu ilikuwa nini? Ulijuaje kama umerogwa? Tiba yake ilikuaje? Kwa ufupi Tuuuu.......Mie mgeni maeneo hao jamani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi Pancho nilipewa mchongo na mshkaji mmoja mbongo mwenzetu aliyepo huko kwa madiba. jamaa aliniambia kuwa kuna club wanahitaji dj na pia yeye ni producer studio inaitwa fo** record so niende...
12 Reactions
105 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…