Nipo Tanzania kwa sasa na mkoa wa Dr mchafu hakuna mfano. Hakuna utaratibu wowote wa utupaji uchafu na maeneo ya wazi yanakuwa kama dampo. Mkuu wa mkoa anashidwa kabisa na wengine kama Kilimanjaro!
Ile Kiki ya awamu hii ya tano waliyoingia nayo ya kufanya usafi iliishia wapi? Au hao watafuta kiki wameridhika na uchafu huu tofauti na ule walioanza nao?
Ni muda mrefu toka Rais wetu mpendwa asafishe akiungwa mkono na wateule wake na sasa amechoka na wao wanasubiri aende tena mtaani waunge mkono juhudi. Wateule wake wa miji mingine nao bado wanasubiri huku hali ikiwa mbaya zaidi maana huko hafiki kujionea mwenyewe.Nipo Tanzania kwa sasa na mkoa wa Dr mchafu hakuna mfano. Hakuna utaratibu wowote wa utupaji uchafu na maeneo ya wazi yanakuwa kama dampo. Mkuu wa mkoa anashidwa kabisa na wengine kama Kilimanjaro!