Baada ya kutaka kwenda Sauzi(bondeni).sasa nimeghairi baada ya kugundua haya...

Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,849
2,000
Mimi Pancho nilipewa mchongo na mshkaji mmoja mbongo mwenzetu aliyepo huko kwa madiba. jamaa aliniambia kuwa kuna club wanahitaji dj na pia yeye ni producer studio inaitwa fo** record so niende tukapige kazi.. so nikawaza .niache huu mtihani mtihani nilio resit?? Je niende huko kwa madiba? usalama wangu vp? Au ndo niende nikale shaba nipotelee mbali??
Siku za karibuni hapa kitaani akarudi mchizi mmoja jina lake sitomtaja.. huyu aliendaga huko na yule mshkaji alienipa mchongo na walikuwa wanakaa maghetoni wote!
Kwanza jamaa alinionesha kovu kwenye bega! Alipigwa shaba!
Jamaa akanambia ni bora nibaki hapa bongo kule hapafai japo hela ipo lakini ni kwa michongo sio!. Nikamuuliza kuhusu ile issue ya club kama nilivoambiwa na yule mchizi je ni kweli??
Akasema ule ni uzushi tuu walikuwa wanataka niende then nikifika wananitema! ili nami nionje msoto!.
kwa hiyo nimeamua niendelee na pepa langu huku nikiendelea na issue za mziki. hapa hapa bongo kwa nzi wa kijani!
sisemi vijana tusiende sauzi kutafuta maisha ila uende ukiwa na uhakika!

"Pancho boy "
 
rolla

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,181
2,000
Mimi Pancho nilipewa mchongo na mshkaji mmoja mbongo mwenzetu aliyepo huko kwa madiba. jamaa aliniambia kuwa kuna club wanahitaji dj na pia yeye ni producer studio inaitwa foxy record so niende tukapige kazi.. so nikawaza .niache huu mtihani mtihani nilio resit?? Je niende huko kwa madiba? usalama wangu vp? Au ndo niende nikale shaba nipotelee mbali??

Ukitataka kufanikiwa usisikilize waliofeli......wasikilize waliofanikiwa wakuonyeshe waliopita. "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
3,424
2,000
Mimi Pancho nilipewa mchongo na mshkaji mmoja mbongo mwenzetu aliyepo huko kwa madiba. jamaa aliniambia kuwa kuna club wanahitaji dj na pia yeye ni producer studio inaitwa foxy record so niende tukapige kazi.. so nikawaza .niache huu mtihani mtihani nilio resit?? Je niende huko kwa madiba? usalama wangu vp? Au ndo niende nikale shaba nipotelee mbali??
Siku za karibuni hapa kitaani akarudi mchizi mmoja jina lake sitomtaja.. huyu aliendaga huko na yule mshkaji alienipa mchongo na walikuwa wanakaa maghetoni wote!
Kwanza jamaa alinionesha kovu kwenye bega! Alipigwa shaba!
Jamaa akanambia ni bora nibaki hapa bongo kule hapafai japo hela ipo lakini ni kwa michongo sio!. Nikamuuliza kuhusu ile issue ya club kama nilivoambiwa na yule mchizi je ni kweli??
Akasema ule ni uzushi tuu walikuwa wanataka niende then nikifika wananitema! ili nami nionje msoto!.
kwa hiyo nimeamua niendelee na pepa langu huku nikiendelea na issue za mziki. hapa hapa bongo kwa nzi wa kijani!
sisemi vijana tusiende sauzi kutafuta maisha ila uende ukiwa na uhakika!

"Pancho boy "
Nijawahi kuishi South ila nimekuwa nikitembelea South Mara kadha wa kadha,kwa kifupi maisha ya South mtoto wa mama kama wewe inabidi usiende kabisa utaishia kuolewa ama kupoteza maisha maana neno ama tendo huruma not exist south Africa

Sent by Diaspora
 
Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,849
2,000
J'berg ni mji mkatili saana, sawa ila sio kivile. Ukiwa na kazi zako ukawa busy usiwe mtu wa kujichanganya saana unaishi.

Watu wanaishi na wanafanya yao.
Ooh Kumbe! Ila mkuu j,'berg si ndo mji mkuu au? maana jamaa anasema alikuwa hapo hapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom