Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tumeitwa kutoka wilaya zetu Tumeanza mafunzo Leo morogoro na tumeambiwa kuwa yatafanyika katika mikoa 10 1. Bado hayaeleweki yanalenga nini na ni ya Siku Tatu, hadi jioni haijaeleweka 2. Malipo...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Heshima kwenu wapenda aman nyote. Anayejua nitapataje kitabu cha mawasiliano ya kiserikali kwa 2019 huruma yake inahitajika. Natanguliza shukran
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wapendwa wana JF mimi ni mwanafunzi ninasoma diploma katika moja ya vyuo hapa tz, katika maisha ya chuo nimekuwa serious kumtumikia Mungu. Lakini nimejikuta nakutana na mambo magumu. Nimekuwa...
7 Reactions
158 Replies
15K Views
poleni sana wana simba na wapenzi wa mchezo wa mipra, pamoja na kufungwa na TP MAZEMBE bado tunaweza kucheza tetema ila kuwa mshabiki wa mpira inahitaji kuwa na moyo wa chuma preshaaaaaaa
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ulemavu wa fikra ni ulemavu mbaya kuliko wote duniani. Nagundua sasa wengi wa Wana CCM sio wote wana huu ulemavu, Niwakumbushe asili ya matukio kama ya Sudan kwa Bashir yalianza kwa kujiongezea...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Huyu ni tapeli mkubwa, anatapeli watu kwa kujifanya anauza piki piki na vifaa vya pikipiki. Akishakutapeli anakublock ili usilalamike kwenye page yake ya instagram. Lengo la kuleta taarifa hizi...
9 Reactions
36 Replies
6K Views
Magufuli baba piga kazi piga kazi ,tuko nyuma yako tunakuunga mkono. Mambo yote uliyoahidi yanatekelezeka na kitendo hiki kinawauma sana wachawi wasiopenda kuona mafanikio yako. Na baadhi yao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu? Nahitaji kupata fundi wa kujenga Swimming pool ya watu 10 hapa Arusha. Karibu PM kwa anayefanya hizi mambo. Asante.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nipo Mkoani kilimanjaro kwa miezi 3. ninashida na bidhaa tajwa hapo juu. mwenye kufahamu wapi nitapata fresh celery na Parsely hapa Moshi anijuze
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Yeremia 50:6 NEN “WATU WANGU wamekuwa KONDOO waliopotea; WACHUNGAJI WAO WAMEWAPOTOSHA na KUWASABABISHIA KUZURURA juu ya milima. WALITANGATANGA juu ya mlima na kilima, na KUSAHAU MAHALI PAO WENYEW3...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wikiendi? Natafuta fundi wa kujenga Swimming pool ya watu 10 hapa Arusha. Kama wewe ndio Kazi zako njoo PM. Asante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naona baada ya sekeseke la kukamatwa wale wafanyakazi kadhaa wa hii kampuni ya mawasiliano wamejirekebisha pakubwa mpaka raha. Sijajua kama zamani miamala ilikuwa inarudishwa mapema hivi ama ndio...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam (DART), umeanza maandalizi ya utekelezaji wa awamu ya tatu ya mradi huo, ambao mabasi yake yatakwenda hadi Gongo la Mboto kupitia Uwanja wa...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari wadau wenzangu wa hapa JF! Naomba kujuzwa njia amabayo ni salama kuhifadhi vyeti vya masomo na taaluma kwa mwenye upeo na hili. Nimekuwa nikiishi na wasiwasi sana kwa kuhofia kama...
5 Reactions
52 Replies
8K Views
Huyu hapo chini ni Bi. Alaa Salah miaka 22, Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kimataifa cha Sudan( SIU ) aliyeongoza maandamano ya kumg'oa Rais wa Sudan Anasema yeye kama Mwanamke anafurahi kwa...
11 Reactions
131 Replies
14K Views
Kuna msemo unasema ‘acha kazi uone kazi kupata kazi’..na kila mmoja anapaswa kuheshimu na kupenda kile anachofanya. Lakini kuna hii list ambayo imetolewa kuhusu kazi ambazo ni hatari zaidi...
4 Reactions
51 Replies
11K Views
Mwanzo kidogo mwa mwaka 2012 kushuka chini huko nilikuwa sikosi kwenda kanisani jumapili ata kwa dawa maybe labda niwe naumwa na homa yenyewe iwe ile ya kulazwa ndio naweza nisiende, Ibada...
26 Reactions
133 Replies
18K Views
Shalom Leo nimekuwa nikitafakari swala UKIMWI, homa aya ini, kansa ya kizazi na magonjwa yanayozuilika kama kuhara na kipindu pindu Kwenye mataifa yaliyoendelea na yenye uchumi wa kati haya...
11 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari yenu wakuu Msaada kama kichwa cha habari hapo kuwa haya madini pichani ni ya aina gani na vipi soko lake lipoje? Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mtoto Idriss Ally mwenye umri wa miaka 13 mwanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi Proces Gate alitekwa kwa staili ya kimafia Septemba 26,2018 akiwa anacheza na wenzake maeneo ya Tegeta...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…