Serikali, mulika mafunzo ualimu yanayoendeshwa na ADEM

majiyamtungi

Member
Joined
May 13, 2018
Posts
38
Reaction score
22
Tumeitwa kutoka wilaya zetu
Tumeanza mafunzo Leo morogoro na tumeambiwa kuwa yatafanyika katika mikoa 10

1. Bado hayaeleweki yanalenga nini na ni ya Siku Tatu, hadi jioni haijaeleweka

2. Malipo ya kujikimu hayana ufafanuzi mzuri, na maelezo yao ukiyasikia yana shida

3. Chakula kibovu hadi tunashangaa dagaa kama wamelowekwa, imekuwa utofauti sana na Siku za nyuma

4. Tunajaribu kuwauliza watu wa ADEM wengine tulionano madarasani nao wanasema hawajui labda wizara ya Elimu ndio iliyopanga

Tunaomba serikali iingilie mapema kabla hatujaenda kwenye mikoa kufundisha walimu wengine
 
Be specific what is the problem?, Tatizo ni mafunzo, dagaa au posho ya kujikimu?. Hayawezi kuwa tatizo yote matatu. Ukiwa specific ni rahisi serikali kuingilia kati. Lakini kuhusu lengo la mafunzo, barua iliyokuita inaeleza, kuhusu posho, lengo la mafunzo in kupata ujuzi na maarifa sio utajiri. Kuhusu dagaa, sio lazima uwale, tumia posho yako kula upendao, hao dagaa ni hisanil
Tumeitwa kutoka wilaya zetu
Tumeanza mafunzo Leo morogoro na tumeambiwa kuwa yatafanyika katika mikoa 10
1. Bado hayaeleweki yanalenga nini na ni ya Siku Tatu, hadi jioni haijaeleweka
2. Malipo ya kujikimu hayana ufafanuzi mzuri, na maelezo yao ukiyasikia yanashida

Rekebisheni, tunaipenda taasisi yetu, tunahistoria nayo, au unataka tuseme zaidi? Tunawajua in and out.
 
Hao walizoea kupiga posho Mara mbili, watokako na waendako, hii awamu ya Tano, jipangeni. Kwanza hao wanaohudhuria mafunzo wengi wao walipatikana kiharamu kushika hivyo vyeo vya uafisa Elimu na uafisa taaluma hivyo kutoelewa lengo la mafunzo na kulalamikia dagaa kunaonesha walivyo na uwezo mdogo kufikiri na kutenda. Umepelekewa mafunzo alaf unalalamikia dagaa?,kuna haja ya kutathmini upya sekta ya Elimu na viongozi wasimamizi wa Elimu nchini.
Mafunzo yanahusu nini? Mwl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeitwa kutoka wilaya zetu
Tumeanza mafunzo Leo morogoro na tumeambiwa kuwa yatafanyika katika mikoa 10

1. Bado hayaeleweki yanalenga nini na ni ya Siku Tatu, hadi jioni haijaeleweka

2. Malipo ya kujikimu hayana ufafanuzi mzuri, na maelezo yao ukiyasikia yanashida

3. Chakula kibovu hadi tunashangaa dagaa kama wamelowekwa, imekuwa utofauti sana na Siku za nyuma

4. Tunajaribu kuwauliza watu wa ADEM wengine tulionano madarasani nao wanasema hawajui labda wizara ya Elimu ndio iliyopanga

Tunaomba serikali iingilie mapema kabla hatujaenda kwenye mikoa kufundisha walimu wengine
Mtu akisoma maelezo yako atashindwa kuelewa tatizo ni nini?? Jaribu kuhit kwenye point,
je ni posho hakuna ama ni ndogo kama ni ndogo mnapata tsh ngapi na mlistahili kupata ngapi kutokana na miongozo?

Je hamuelewi lengo LA mafunzo ni nini, hamkupata barua za kuitwa zenye maelezo ya lengo LA mafunzo? Ama mlipata ila yanayofunzwa ni kinyume na mlichotarajia?

Je ni sababu ya chakula kibovu? Na kwa nini msiwaeleze waandaji kuhusu haya. Haya ndiyo mambo yanayofanya waalimu kuonekana wengi hawajielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana kakerwa na dagaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, basi ili mjue sio dagaa na mnatunisha misuli tutayafuatilia haya mafunzo kama ya wenzenu Taasisi ya Elimu Tanzania hadi mkapewa nyie, walikuwa na kibri kama hili.
Sisi ni watumishi wa umma, tunaheshimu taasisi za umma na lkn tunapiacha keheshimiwa na kupewa dharau sio sawa.
Serikali imetoa pesa ili walimu wapate mafunzo nyie mnaamua kuweka hesabu zenu.
Wenzenu TIE waliwalisha walimu maandazi mabovu, kwa jioni kwa mwaka Jana kulikuwa na chakula mwaka huu bajeti imebadilika?
Mafunzo haya kila Mara pia yamekuwa na changamoto za ngono, haya kupewa nafasi ya kushiriki tu, hata tunaongea na baadhi ya wewezeshaji Wetu wanasema baadhi ya wewezeshaji wanaitwa kwa sababu ya mahusiano ya ngono na wafanyakazi wa ADEM, Undugu na kufahamiana,
Tumeambiwa yataenda mikoani, tutayamulika zaidi
 
Be specific what is the problem?, Tatizo ni mafunzo, dagaa au posho ya kujikimu?. Hayawezi kuwa tatizo yote matatu. Ukiwa specific ni rahisi serikali kuingilia kati. Lakini kuhusu lengo la mafunzo, barua iliyokuita inaeleza, kuhusu posho, lengo la mafunzo in kupata ujuzi na maarifa sio utajiri. Kuhusu dagaa, sio lazima uwale, tumia posho yako kula upendao, hao dagaa ni hisanil
Hapana mkuu, wanakatwa hela kiasi kwenye posho yao.
 
Sawa, basi ili mjue sio dagaa na mnatunisha misuli tutayafuatilia haya mafunzo kama ya wenzenu Taasisi ya Elimu Tanzania hadi mkapewa nyie, walikuwa na kibri kama hili.
Sisi ni watumishi wa umma, tunaheshimu taasisi za umma na lkn tunapiacha keheshimiwa na kupewa dharau sio sawa.
Serikali imetoa pesa ili walimu wapate mafunzo nyie mnaamua kuweka hesabu zenu.
Wenzenu TIE waliwalisha walimu maandazi mabovu, kwa jioni kwa mwaka Jana kulikuwa na chakula mwaka huu bajeti imebadilika?
Mafunzo haya kila Mara pia yamekuwa na changamoto za ngono, haya kupewa nafasi ya kushiriki tu, hata tunaongea na baadhi ya wewezeshaji Wetu wanasema baadhi ya wewezeshaji wanaitwa kwa sababu ya mahusiano ya ngono na wafanyakazi wa ADEM, Undugu na kufahamiana,
Tumeambiwa yataenda mikoani, tutayamulika zaidi

Aisee. Inaonekana kuna mengi yamejificha huko kwenye mafunzo ya Ualimu ADEM.
Hiki chuo ni cha serikali kweli? Haya mafunzo unayoyaongelea yanaadaliwa na nani? Kuna mafunzo mengi Siku hizi yanaandaliwa na NGOs
Lkn pia kama issue ya Ngono naona katika kundi linalopata tabu ni Walimu wa Kike, sasa hayo mafunzo kama yana posho na chakula lazima waliwe sana.
Tabia hizi zikemewe kwa nguvu zote
 
Kanuni za posho ni kujigharamia kila kitu, kama kuna huduma mnapewa basi posho hukatwa kidogo ili kulipa hizo gharama kama chai na hao dagaa.
Ndugu, unaonekana kuwa sehemu yao, Abdulahman amekujibu lkn naona umekomaa.

Hata hivo maboresho Kidogo yameonekana, waboreshe zaidi, na hasa sasa nidhamu zao kwa walimu huko mikoani. Tuko pamoja.
 
Mtoa mada tatizo nini?unasema wanaoenda mafunzoni ni wale wenye Mahusiano ya kingono na watumishi wa adem?anyway.Mimi nimewahi kuwa mdau wa huyo wakala mwaka flan.na nawafahamu Adem.kuanzia Mkurugenzi wa wakala na watumishi wengine pale,hayo unayotuhumu nadhani ni kutokana na upeo wako tu ulivyo maana hata kuandika Kwa mtiririko mzuri huwezi.usichafue wakala.pale wako straight sana na mambo ya elimu na mambo mengine yanayohusiana kwayo.jiulize hayo mafunzo yamefadhiliwa na Nani?je serikali?au watu wengine?Sasa hizo lawama Kwa adem za nini?nyie walimu mna shida sana.umeenda kuangalia dagaa na Mahusiano ya mafacilitator na walimu?watu wazima wale sio watoto,usiwe mjinga hivo mwalimu.zingatia mafunzo rudi kawaelimishe wenzio hayo mengine waachie wahusika.Hakuna wakala wa elimu wako makini na kazi zao kama ADEM chini ya Dr.Siston Masanja Mgulah.nawafahamu pale hawanaga madhaifu mepesi kihivo mwalimu.NB:wakala hua hatoi yeye pesa za mafunzo,hua ana mashirika yanayofadhili ama serikali ndo hufadhili mafunzo hayo.a cha ujinga wa kuchafua wakala.ADEM -Agency for the development of education management.
 
Back
Top Bottom