Haya mawe ni madini ya aina gani?

Haya mawe ni madini ya aina gani?

minded tips

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
507
Reaction score
876
Habari yenu wakuu

Msaada kama kichwa cha habari hapo kuwa haya madini pichani ni ya aina gani na vipi soko lake lipoje?

bda987ac-65c8-4802-898b-e86f624ab13c.jpg



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni vigumu sana kujua aina ya madini kwa kuangalia picha
 
Mkuu huo ni utajiri wa kufa mtu
Usikubali mtu yoyote akulaghai au kukukatisha tamaa ya aina yoyote.
Ukiweza chukua hayo madini uende nayo moja kwa moja BOT au kwa CAG au tawi lolote la nmb au crdb bank

Maendeleo hayana chama
 
Umeviokota kwenye gunia la dagaa?

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkuu huo ni utajiri wa kufa mtu
Usikubali mtu yoyote akulaghai au kukukatisha tamaa ya aina yoyote.
Ukiweza chukua hayo madini uende nayo moja kwa moja BOT au kwa CAG au tawi lolote la nmb au crdb bank

Maendeleo hayana chama

Asante mkuu ila nimecheka sina mbavu maendeleo hayana chama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji16][emoji16]ila kwenye upande wa madini mwenzenu mweupe sana, hivi ni nani mwingine ambaye hajawahi kujutana na dhahabu kama mimi!!yaani siijui zaidi ya kuiona youtube.
 
[emoji16][emoji16]ila kwenye upande wa madini mwenzenu mweupe sana, hivi ni nani mwingine ambaye hajawahi kujutana na dhahabu kama mimi!!yaani siijui zaidi ya kuiona youtube.
Nenda Sabasaba banda la wizara ya nishati na madini
 
Mkuu huo ni utajiri wa kufa mtu
Usikubali mtu yoyote akulaghai au kukukatisha tamaa ya aina yoyote.
Ukiweza chukua hayo madini uende nayo moja kwa moja BOT au kwa CAG au tawi lolote la nmb au crdb bank

Maendeleo hayana chama
Hayo yanauzwa kilo 80 elfu na leseni yake kuikata ni 50 elfu hayana ishu hapo morogoro na tanga yanachimbwa kibao
 
Hayo yanauzwa kilo 80 elfu na leseni yake kuikata ni 50 elfu hayana ishu hapo morogoro na tanga yanachimbwa kibao
Huo ni uongo hayo madini ndio yamezungumziwa hata kwenye ripoti ya CAG yana thamani ya bilioni za shilingi.

Maendeleo hayana chama
 
Huo ni uongo hayo madini ndio yamezungumziwa hata kwenye ripoti ya CAG yana thamani ya bilioni za shilingi.

Maendeleo hayana chama
Pole sana nadhani kila mtu ana tofautiana na mwenzie kwenye ujuaji
 
Pole sana nadhani kila mtu ana tofautiana na mwenzie kwenye ujuaji
Nashukuru kwa kutambua hilo
Siku nyingine upoona haujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kushinda na watu wenye taaluma zao.

Maendeleo hayana chama
 
Nashukuru kwa kutambua hilo
Siku nyingine upoona haujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kushinda na watu wenye taaluma zao.

Maendeleo hayana chama
Aise..huwa sipendagi ligi..
Tufanye umeshinda wewe
 
Aise..huwa sipendagi ligi..
Tufanye umeshinda wewe
Hahahaaaa mkuu upo serious sana kiasi kwamba umeshindwa hata kugundua nnachobishania hapa ni utani tu, hayo madini na CAG wapi na wapi. Mleta mada mwenyewe alikua anacheka tu na comments zangu ila wewe umekazania tu kubishana na mtu asie na ufahamu wowote kuhusu madini.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom