Kwa hili nawapongeza Vodacom Tanzania

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,446
16,300
Naona baada ya sekeseke la kukamatwa wale wafanyakazi kadhaa wa hii kampuni ya mawasiliano wamejirekebisha pakubwa mpaka raha.

Sijajua kama zamani miamala ilikuwa inarudishwa mapema hivi ama ndio wameanza juzijuzi.

Kama siku 3 zilizopita nlimtumia mdogo wangu nauli ya kurudi nyumbani maana ndo wamefunga shule. Bahati mbaya akaipoteza ile laini yake na pesa alikuwa hajaitoa.

Kurenew ikawa ngumu sababu alisajilia kitambulisho cha mtu mwingine.

Basi kuamka leo asubuhi nikaenda kwenye ile huduma yao ya kuzuia muamala. Nikaambiwa nithibitishe kama umefanikiwa kwa kupiga huduma kwa wateja.

Basi kuwapigia kwanza vile wanavokuhudumia ni tofauti na zamani. Muhudumu kanipa maelekezo yaliyonyooka mpaka nikapenda.

La mwisho ni kwamba miamala kwa sasa inarudi baada ya dakika chache tuu hata kama ulikuwa umetuma pesa mwezi mmoja uliopita cha msingi tuu hiyo pesa iwe haijatolewa huko ulikoituma.

Na maximum ni masaa mawili basi muamala unakuwa usharudi.

Kwa hili nawapongeza vodacom. Sasa tunaomba mshughulikie na kile kilio chetu cha muda mrefu kuhusu vifurushi vyenu vya internet kuwa juu na vinaisha kwa speed ya light. Yani hata ukiwasha data kwenye simu bila kufanya chochote utakuta kifurushi kimelika isivyo kawaida.

Goodmorning (in QNET's voice).

Vodacom Tanzania
 
Waifuatilie hii mitandao namna wanavyowaibia wateja data, wanadanganya watu mara laini za chuo sijui takataka kibao unajiunga siku moja tu unashangaa bando limekata. Unaweza kukuta hizo bil. 9 zilizolipwa faini mahakani zikarudishwa ndani ya siku moja kwa kuwaibia watumiaji, TCRA kuweni macho..
 
Naona baada ya sekeseke la kukamatwa wale wafanyakazi kadhaa wa hii kampuni ya mawasiliano wamejirekebisha pakubwa mpaka raha.

Sijajua kama zamani miamala ilikuwa inarudishwa mapema hivi ama ndio wameanza juzijuzi.

Kama siku 3 zilizopita nlimtumia mdogo wangu nauli ya kurudi nyumbani maana ndo wamefunga shule. Bahati mbaya akaipoteza ile laini yake na pesa alikuwa hajaitoa.

Kurenew ikawa ngumu sababu alisajilia kitambulisho cha mtu mwingine.

Basi kuamka leo asubuhi nikaenda kwenye ile huduma yao ya kuzuia muamala. Nikaambiwa nithibitishe kama umefanikiwa kwa kupiga huduma kwa wateja.

Basi kuwapigia kwanza vile wanavokuhudumia ni tofauti na zamani. Muhudumu kanipa maelekezo yaliyonyooka mpaka nikapenda.

La mwisho ni kwamba miamala kwa sasa inarudi baada ya dakika chache tuu hata kama ulikuwa umetuma pesa mwezi mmoja uliopita cha msingi tuu hiyo pesa iwe haijatolewa huko ulikoituma.

Na maximum ni masaa mawili basi muamala unakuwa usharudi.

Kwa hili nawapongeza vodacom. Sasa tunaomba mshughulikie na kile kilio chetu cha muda mrefu kuhusu vifurushi vyenu vya internet kuwa juu na vinaisha kwa speed ya light. Yani hata ukiwasha data kwenye simu bila kufanya chochote utakuta kifurushi kimelika isivyo kawaida.

Goodmorning (in QNET's voice).

Vodacom Tanzania
Good Morningggg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka zamani hela chini ya laki moja ilikuwa inarudi ndani ya masaa mawili ila kuanzia Laki ni masaa 72

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goodmorning (in QNET's voice)
emoji3.png
.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
mm mwenyewe jana usiku nilimtumia mtu hela kwenda tigopesa kumbe line kaipoteza nikawataarifu na asubuhi naamka nakuta hela isharudishwa kwangu, infact voda wanaanza kua na adabu saiz.
 
Naona baada ya sekeseke la kukamatwa wale wafanyakazi kadhaa wa hii kampuni ya mawasiliano wamejirekebisha pakubwa mpaka raha.

Sijajua kama zamani miamala ilikuwa inarudishwa mapema hivi ama ndio wameanza juzijuzi.

Kama siku 3 zilizopita nlimtumia mdogo wangu nauli ya kurudi nyumbani maana ndo wamefunga shule. Bahati mbaya akaipoteza ile laini yake na pesa alikuwa hajaitoa.

Kurenew ikawa ngumu sababu alisajilia kitambulisho cha mtu mwingine.

Basi kuamka leo asubuhi nikaenda kwenye ile huduma yao ya kuzuia muamala. Nikaambiwa nithibitishe kama umefanikiwa kwa kupiga huduma kwa wateja.

Basi kuwapigia kwanza vile wanavokuhudumia ni tofauti na zamani. Muhudumu kanipa maelekezo yaliyonyooka mpaka nikapenda.

La mwisho ni kwamba miamala kwa sasa inarudi baada ya dakika chache tuu hata kama ulikuwa umetuma pesa mwezi mmoja uliopita cha msingi tuu hiyo pesa iwe haijatolewa huko ulikoituma.

Na maximum ni masaa mawili basi muamala unakuwa usharudi.

Kwa hili nawapongeza vodacom. Sasa tunaomba mshughulikie na kile kilio chetu cha muda mrefu kuhusu vifurushi vyenu vya internet kuwa juu na vinaisha kwa speed ya light. Yani hata ukiwasha data kwenye simu bila kufanya chochote utakuta kifurushi kimelika isivyo kawaida.

Goodmorning (in QNET's voice).

Vodacom Tanzania
Mkuu umelipwa kiasi gani?

Voda ni wezi,skuiz wanaiba bundle zetu kizembe mno saiv nimerudi nyumbani kumenoga TTCL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom