Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha...
Yuda wa Biblia alimsaliti Bwana Yesu. Siamini kama mleta hoja anamaanisha msalitiwa katika hoja yake ni sawa na Bwana Yesu!?!? Ipo siku tusiyoijua, “Yesu” huyu aliyefumbwa katika hoja hii...
Kila mwaka shule nyingi za serikali huwa zinawaagiza wanafunzi kuja na vifaa kama majembe, mafyekeo, ndoo, mifagio na vifaa vingine vya usafi.
Swali langu ni hili; ikiwa maagizo haya yanatolewa...
Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani...
Wakuu, habari.
Ninaomba kufikisha kilio cha wananchi wa maeneo ya Kitunda, Kibeberu, Magole (Mzinga/Kivule) kuhusu changamoto kubwa ya ukosefu wa viwanja vya michezo vya jamii, hususan kwa vijana...
Sisi wakazi wa Isamilo, Mtaa wa Maendeleo, tunawasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu kero kubwa inayotukabili katika eneo letu la makazi.
Kuanzia mwezi Aprili, 2026, jirani yetu mmoja amefungua...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilitoa taarifa ya ajali ya gari iliyotokea tarehe 27.03.2026, majira ya saa 12:30 jioni, katika barabara ya Jojiro, na kusababisha majeruhi kwa madaktari...
Mataa ya kuongozea magari katika eneo la Kibasila, Chang'ombe, yamekuwa hayafanyi kazi kwa muda mrefu sasa. Hali hii imesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara, huku baadhi ya madereva...
Ni mara chache sana kuona watoto wanaweza kuishi hapo hapo.
Mi naonaga mwisho wa siku ukimbilia nchi ambazo wananchi wenye hasira utawala wa wazazi unaweza kuwaumiza
Nimeota namuuliza swali Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwamba Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?
Nyerere akashindwa kujibu, akalia sana akaanza kusema yeye kama mjenga misingi...
1.Mstaafu raisi Jakaya. Huyu uzee
2.Spika wa bunge.Hapa kama bunge hakuna ndio maana hakuna nguvu ya kuwa na kumbu kumbu.
3.Mkuu wa majeshi Mkunda.Huyu naona hata jeshi heshima imeshuka siku...
Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio...
Kuna viwanja vilivyouzwa takribani miaka minne iliyopita na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni katika eneo la Pembamnazi–Tugwi Songani. Hata hivyo, hadi sasa wananchi bado hawajapatiwa hati zao...
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro inadaiwa kuwepo na changamoto katika ugawaji wa maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo.
Kwa mujibu wa malalamiko ya wafanyabiashara, maeneo hayo ambayo...
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bukimau iliyopo Kata ya Bumilayinga, Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi, Kojak Emily Ungele (19), amefariki dunia katika tukio...
Ukifikisha miaka 35-40 huna mbele wala nyuma, si bora utolewe kafara ukoo uambulie hata kirikuu.
Nimeingia jukwaani nikiwa na kichefuchefu na hawa viumbe wanaojidanganya ni wanaume wakati ni...
Jamii yetu inaelekea wapi? Inasikitisha kuona baadhi ya wanaume ambao tayari wamevuka umri wa miaka 30 wakiwa hawana shughuli maalum ya kuwaingizia kipato, hawana mipango ya maendeleo, na kila...
Na Mwandishi Wetu
ALBINISM Sports Club yenye Makao Makuu yake jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira
(TASACI), imeandaa mechi ya kirafiki kati ya...