Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jukwaa 1. Je adhabu iliyopitishwa ni stahiki? 2. Je kuna athari katika tasnia ya uhasibu? 3. Tunajifunza nin katika sakata hili Note Naona kuna shida katika kona za utetezi kuwa finyu...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Jana kulikuwa na mkutano wa waziri wa nishati maeneo ya chalinze, mkutano huo ulihudhuliwa pia na mbunge wa chalinze; Taalifa za mkutano huo zimelipotiwa wiki moja kabla! Cha ajabu na cha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama mzalendo wa nchi yangu. Nimeshituka kuona Rais akilindwa na Jeshi lililovaa magwanda tofauti na tuliozoea ya Jeshi letu la Tanzania. Sijawai kuona kikosi cha JWTZ kikivaa gwanda za bakabaka...
5 Reactions
107 Replies
21K Views
Kwenye maisha kunanyakati unapita kwenye mapito magumu ambayo hakuna awezaye kukuelewa. Unapita mahali ambapo unahisi pumzi ya uvumilivu inakuishia, unahisi kukata tamaa na maranyingine hata...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukimwangalia Dr Harisson Mwakyembe alivyo sasa,halafu ukavuta hisia za alivyokuwa kabla hajafanyiwa umafia utagundua kuwa the guy has been killed, and it is only the matter of time before that...
8 Reactions
52 Replies
6K Views
Wanandugu salaam Mimi ni kijana mtanzania ninasoma nipo chuo kikuu mwaka wa tatu sasa ninasoma miaka minne kwakweli hali yangu ta maisha imebadilika ninaelekea ku drop from studies kwani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni muda huu huu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nipende kuwapongeza watumishi wa umma wote,kwa uvumilivu kwa takribani miaka 3,wakiishi Bila nyongeza na upandishwaji madaraja yao. Kesho ni Mei Mosi,watumishi wengi itakuwa ni siku...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu mrembo anaitwa Doreen nimeangalia clip yake hapo. Ni muathirika wa Ukimwi wa kuzaliwa nao. Toka akiwa mdogo amekuwa akitumia dawa mpaka kukua approx. 25 years now. Nimewaza kwa sauti wale...
6 Reactions
71 Replies
10K Views
Kwa mood ninayoiona week hii kuna mtu yupo kwenye good mood ukimfurahisha week hii hata u dc unapata aisee,na yale matayarisho yaliyofanyika week mbili ziliopita za wabunge wa ccm kukataa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
latangaza hasara zaidi Saa 8 zilizopita Shirika la taifa la safari za ndege nchini Kenya Kenya Airways(KQ) limetangaza kupata hasara ya kifedha mwaka uliopita kwa takriban $75m. Hasara hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usiambiwe ulipie ni bure. Link down www.dvlottery.state.gov
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Habar zenu watu wa Mungu. Hii inawahusu walio mijini... Naomba nishare na ninyi suala muhimu, leo nimebahatika kusali Kanisa la KKKT Usharika wa Majengo hapa Morogoro. Baada ya mahubiri ambayo...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Duniani kuna mambo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia simulizi ya kutisha, ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Amina Mpindogani (59), ambaye anakiri kwamba kwa muda mrefu, amekuwa...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Kutoka na mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Arusha, kikosi cha uokoaji kikiongozwa na RPC kamishna Shana, kimefanikiwa kuokoa kijana mmoja aliekua amesombwa na maji.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii picha alipigwa na babu yangu mnamo tarehe January 1943
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Mzuqa, Daudi Kanyau yuko wapi? Nakumbuka mwanzoni mwanzoni wa utawala wake jiwe alianza kiki na huyu jamaa alipokamatwa kwa kushtumiwa kiwa muuza madawa ya kulevya aliyekubuhu. Kashahukumiwa...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Hivi hizi mambo huwa zinatokea kweli mkiwa njiani(safarini) au huwa ni stori tu ?? Mfano wa mambo ninayo yaongelea hapa ni haya hapa
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Juzi nililala nikaona mtu amefika kunishindilia mgongoni nikaanza kutoa sauti ya kilio na mwezangu akaja kitandani pangu nakuniuliza kuna nini.na siku ya pili nimeshindia kuugulia kwa mgongo hadi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tajwa hapo ndio baadhi ya mambo yatakayo zungumwa kesho siku ya mei mosi. Wengine muongezee ya kwenu.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…