Mwajiri Tanesco; Yule Meneja cha Pombe wa Tanesco Chalinze aliyegundulika Mlevi mbele ya waziri wa nishati hafai kuwa mtumishi wa umma

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Jana kulikuwa na mkutano wa waziri wa nishati maeneo ya chalinze, mkutano huo ulihudhuliwa pia na mbunge wa chalinze;
Taalifa za mkutano huo zimelipotiwa wiki moja kabla!
Cha ajabu na cha kusikitisha Mdau namba moja wa mkutano huo ambae ni meneja TANESCO chalinze ambaye pamoja na kuwa na taarifa zote za ugeni huo aliamua kufika akiwa amelewa; Hii inaashilia kwamba hakuwa tayali kujibu majibu ambayo angepaswa kuyatolea ufafanuzi mbele ya waziri wa nishati!

Waziri palepale Alimfukuza mkutanoni;
Taarifa za kuaminika baada kufikishwa kituo cha polisi na kupimwa ni kweli aligundulika kalewa.
Kwa tukio la meneja kulewa tena mbele ya waziri wa nishati hii inatafsiri mambo mengi sana kwa anayeelewa;
  • Kitendo cha kulewa mbele ya waziri kinaashilia utovu wa nidhamu wa hali ya juu
  • kitendo cha kulewa mbele ya waziri kinaashilia huyu mtu HAJALI wananchi hata yeye mwenyewe
  • kitendo cha kulewa kinaashilia huenda hata huwa hazingatii usalama pahala pa kazi huenda pia ikawa ndiyo chanzo cha ile nguzo kubwa (Tower) iliyodondoka kwa kuibiwa bolt na kusababisha hasara ya 400mil
  • Kitendo chake cha kulewa huyu meneja akiachwa ipo siku anaweza ning'inia kwenye nyaya za umeme kwa uzembe
  • Kitendo cha kulewa kinaonesha huyo meneja hayupo mbali na rushwa katika utumishi wake
  • Kitendo cha kulewa kinaashilia hana ethics za kuongoza watu wake
Kwahiyo huyo meneja wa chalinze siyo kwamba anasitahili kushushwa vyeo au kuhamishwa tu Bali anastahili kufukuzwa kabisa asiwe mtumishi wa umma!
 
Mitz ina wivu sana,kwahiyo akifukuzwa kazi wewe itakusaidia nini?
Una hakika alikua kalewa pombe?
Je kama alikua katumia dawa?
Ama je kama zilkua ni hangover?
Je,ulevi wake umepunguza efficiency ya kazi zake?
Punguza wivu wa kike wewe!
 
Umenikumbusha nikiwa chuo kikuu kuna wenzetu walikua "wanapiga gambe" dakika chache kabla ya uwasilishaji "presentations' ili wasione aibu..

Labda meneja nae alikua hataki aone aibu.
 
Mkuu vipi unaitaka hiyo nafasi?
emoji28.png
,
Unataka Viongozi Walevi? tuanze na hili
Mkuu vipi unaitaka hiyo nafasi?,
 
Mitz ina wivu sana,kwahiyo akifukuzwa kazi wewe itakusaidia nini?
Una hakika alikua kalewa pombe?
Je kama alikua katumia dawa?
Ama je kama zilkua ni hangover?
Je,ulevi wake umepunguza efficiency ya kazi zake?
Punguza wivu wa kike wewe!
Baadhi ya watu ni wajinga na ushabiki wa kijinga, waziri kamuona kalewa, polisi wamtest alcohol kagundulika kalewa, wafanyakazi wanakili huwa mlevi, wewe mke wake ndo unakuja kukanusha kunguru Mkubwa weye!
 
Msenge Mkubwa wewe.....
Nshakuambia acha wivu...
We umewahoji hao coworkers wakakwambia ni mlevi....
Kagongwe mbele huko
Baadhi ya watu ni wajinga na ushabiki wa kijinga, waziri kamuona kalewa, polisi wamtest alcohol kagundulika kalewa, wafanyakazi wanakili huwa mlevi, wewe mke wake ndo unakuja kukanusha kunguru Mkubwa weye!
 
UKUMBUKE waliambiwa wavute bangi ili wakawe WAKALI kwenye maeneo yao
Sasa Hawakuambiwa wazidishe kipimo.Huyo kazidisha kipimo ndo maana ALIFUKUZWA kwenye kikao
 
Umenikumbusha nikiwa chuo kikuu kuna wenzetu walikua "wanapiga gambe" dakika chache kabla ya uwasilishaji "presentations' ili wasione aibu..

Labda meneja nae alikua hataki aone aibu.
kwahiyo na yeye alikuwa ana gain confidence
 
Kwani wapi imethibtishwa kuwa MTU akinywa pombe hawez kutekeleza majukumu yake?? Na alilewa SAA ngapi?? Na ilikuwa siku gani?? Kama ulimfanyia MTU surprise visit unamwita mkutanoni Una guarantee gani kuwa alikuwa kanisani au msikitini na si bar??kwani nchi hwanaostahili kunywa pombe ni watu WA aina gani?? Ukiwa meneja hustahili kunywa pombe?? Kqani huko ambako hakuna mameneja walevi tanesco iko imara Kwa kiwango gani?? Nguzo hazianguki hovyo?? Umeme haukatiki au hawajawahi kuitia tanesco hasara?? Au hakuna uzembe wwote?? Tukishamtoa tumlete MTU WA aina gani?? Tuendeshe interview kuwa wanaotakiwa ni wale wasiokunywa pombe??
 
Ulichoandika hukielewi: huenda umeandika kishabiki, Mimi pia nakunywa pombe lakini nakunywa kulingana na maadili;
maadili ya utumishi wa uma hupaswi kulewa mahala pa kazi, hivi nyie chadema mbona mnapenda kubisha kila kitu? mwalimu akilewa wakati wa kazi itakuwaje? dakitali akilewa itakuwaje? polisi akilewa itakuwaje? mwanajeshi akilewa itakuwaje? Mda wa kazi siyo wa kulewa; Acheni kushabikia ujinga nyie nyumbu
 
Back
Top Bottom