Mzuqa!
Urooj Khan mhindi kutoka jimbo la Hyderabad India alihamia Marekani 1989. Alianzisha kampuni ya usafi ambayo ilikuwa na mafanikio sana 2012.
Alimuoa mke wake wa pili Chicago Shabana...
Watanzania wenzangu naombeni ushauri wenu, hapa nilipo nimevurugwa vibaya sana kwa sasa kila ninalojaribu kufanya kwangu naliona kama halina tija tena kwangu.
Hali hii imenijia baada ya kugundua...
Habari mzuri kwa wale munaotaka kupata Uraia wa kuishi Amerika (Green Card ) ya Amerika changamkeni form ninaiweka mwisho ni Tarehe 7 /11/2016 saa 12 jioni. Jazeni hii Form ninayoiweka haraka...
Askofu Cardinali Pengo anaonekana bado anayo nguvu ya kulitumikia kanisa, leo ameongoza ibada ya kubariki mafuta ya Krisma takatifu ibada iliyofanyika katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph.
Kama...
eti ni mbunge wa viti maalumu anayewakilisha walemavu?
Tupo serious kweli?
Huyu ni mlemavu wa nn mbona kuna walemavu wa aina nyingi hatuoni wakiteuliwa mnateua mtu mzima na viungo vyake eti...
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesaini makubaliano na Kampuni ya Touchroad International Group ya China kwaajili ya kusafirisha watalii 10,000 kutoka jiji la Shanghai kutembelea Tanzania mwaka...
Habari za jioni wakuu,
Napenda tukumbushane tu kuwa mliopo Dar es Salaam, kuna homa ya dengue
Kuna watu kadhaa naishi nao majirani na wengine tunafanya nao kazi imethibitika kuambukizwa na homa...
Kutokana na foleni kipande cha Mwenge hadi Morocco(Bagamoyo Road) na ukitoka Morocco hadi maeneo ya junction ya UN road na Ally Hassan Mwinyi road, binafsi nakiri kuwa lile daraja linalojengwa...
Tz ni nchi iliyoanza kustaarabishwa na ndugu zetu waarabu,walifika Tz mda mrefu ambapo jamii kwa wakati huo hawakuwa na ustarabu kabisa.
Mfano albino walitupwa,kutembea uchi.
Katika hoja ya namba...
Ndondo si chururu, waswahili walisema, njoo tuungane kwa pamoja kuchanga kidijitali fedha ambayo itatumika kukopeshana bila riba kama ilivyo kwa TALA na BRANCH
Wanajamvi, leo nimepita maeneo ya stand kuu ya mabasi mjini Arusha.
Kilichonishangaza ni kukuta karandinga la Polisi likiwa limeegeshwa kama basi, na Askari Polisi wakikamata watu wanaofanya...
Huyu mzee kwa misaada ya mabilioni aliyokua anatoa kwa jamii ina maana ana pesa sana, KUNA KIPINDI TULISIKIA BAADHI WAKISEMA HALIPI WAFANYAKAZI WAKE VIZURI AU MALIMBIKIZO YA MSHAHARA, JE HII NI...
Wakuu, imebidi niwatupie swali hili baada ya kusikiliza radio Tumaini ya Dar ikijitanganza kuwa ndo radio ya kwanza binafsi hapa nchini.
Mie nakumbuka palikuwa na radio Sauti ya Injili toka...
Nimekaa hapa kwenye sehemu ya mapokezi MUHIMBILI maarufu Coca.
Ni nje ya Jengo la Muhimbili, nimekutana na jamaa ambaye macho yamemuiva
analalamika kweli kweli mambo yanayoendelea kwenye hospitali...
Leo hii ameonekana mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa kwenye soko la samunge kufuatilia wafanya biashara wadogo wadogo akifuatana na polisi huku akitoa onyo kuwa atawakamata wote ambao watashindwa...
Nimekula tunda la zaituni kwa mara ya kwanza uchaggani huko. Nikaomba na mbegu nije kupanda kwangu pia, nikaambiwa huu mti huwezi panda Kama muembe au mpapai. Uko tofauti Sana na miti mingine...
Kwa wale wataalamu wa mambo ya kijeshi,
1. Ni vigezo gani / cheo gani kitamfanya mtu awe KOMANDO?
2. Huwa naona Kuna wale POLISI WA JESHI (MP) ambao ndio hutoa adhabu mbali mbali kwa mwanajeshi...
WASHITAKIWA kwenye shauri la utakasaji fedha linalomkabili wakili Maarufu jijini Arusha, Median Mwale na wenzake watatu wamesema wako ngangari kwa mapambano ya kisheria huku wakiwataka mawakili wa...