WANAOELEWA HILI KUHUSU MAREHEMU DR MENGI WATUELEWESHE!!!!

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Huyu mzee kwa misaada ya mabilioni aliyokua anatoa kwa jamii ina maana ana pesa sana, KUNA KIPINDI TULISIKIA BAADHI WAKISEMA HALIPI WAFANYAKAZI WAKE VIZURI AU MALIMBIKIZO YA MSHAHARA, JE HII NI KWELI?
je hii inachangiwa na nn au ni masharti ya waganga?
Unawezaje kusaidia watu wa nje wengi huku watu wanaoleta ustawi na kuendeleza kampuni huwalipi vizuri au wana malimbikizo ya mishahara?
 
Biashara sio Charity ; Matumizi yanatoka kwenye Kilichozalishwa , kila biashara inajiendesha, Kama biashara haiingizi pesa unategemea nini ? Pili Kampuni ni an individual, wewe ukiwa na pesa does not necessarily mean kampuni yako ina pesa.

Kutoa pesa kampuni hii kupeleka kampuni ile ni mwanzo wa kufilisika
 
Ndio maana maisha yako yapo hivyo yalivyo, unajadili mambo ya nyuma mlengwa mwenyewe marehemu na zaidi sana unalojadili halikuhusu na hata ukikipata unachokitafuta hakitakusaidia lolote maishani, hopeless
 
Achana na udaku WA mange kimavi,

Juzi tu aliahid kutoa million 20 kwa kila mchezaji WA Serengeti boys,

Sasa assume wapo 40 pamoja na bench la ufundi, it means alikuwa anamwaga karibu million 600 ,ila hawakushinda mech 2,kumbuka kila goli aliahidi mpunga,

Wiki mbili anafariki, Mange anasema Wafanyakaz IPP media hawalipwi mishahara,

Ni uzushi
 
Ndio maana maisha yako yapo hivyo yalivyo, unajadili mambo ya nyuma mlengwa mwenyewe marehemu na zaidi sana unalojadili halikuhusu na hata ukikipata unachokitafuta hakitakusaidia lolote maishani, hopeless
Safi sana kuleta mchango wako kwenye hili jukwaa. Yani wewe na akina Geza Ulole mmejikita tu Kenya forums Utadhan JF kuna boundaries. Ni juzi tu kimsboy kaanza kutembelea majukwaa mengine kutoka International Forum na kupost na kucomment tofauti na Iran
 
Ndio maana maisha yako yapo hivyo yalivyo, unajadili mambo ya nyuma mlengwa mwenyewe marehemu na zaidi sana unalojadili halikuhusu na hata ukikipata unachokitafuta hakitakusaidia lolote maishani, hopeless
Ww acha kujibu swala kama halikuhusu au unawashwa, una hamu ya kupigwa pipe?
Fucking u
 
Huyu mzee kwa misaada ya mabilioni aliyokua anatoa kwa jamii ina maana ana pesa sana, KUNA KIPINDI TULISIKIA BAADHI WAKISEMA HALIPI WAFANYAKAZI WAKE VIZURI AU MALIMBIKIZO YA MSHAHARA, JE HII NI KWELI?
je hii inachangiwa na nn au ni masharti ya waganga?
Unawezaje kusaidia watu wa nje wengi huku watu wanaoleta ustawi na kuendeleza kampuni huwalipi vizuri au wana malimbikizo ya mishahara?
Pesa zake binafsi hazihusiani na kampuni zake.
 
Biashara sio Charity ; Matumizi yanatoka kwenye Kilichozalishwa , kila biashara inajiendesha, Kama biashara haiingizi pesa unategemea nini ? Pili Kampuni ni an individual, wewe ukiwa na pesa does not necessarily mean kampuni yako ina pesa.

Kutoa pesa kampuni hii kupeleka kampuni ile ni mwanzo wa kufilisika
hapa umemaliza kila kitu, wachache watakuelewa
 
Kwa hiyo wafanyakazi wake wanafanyaga bure miaka yote?
Hilo lingine ulilo uliza kwamba ni Ukweli sisi nasi hatujui kwamba ni Ukweli au uongo hatujawahi sikia
 
Back
Top Bottom