Rodney Mutie Mengi Heart Institute imeishia wapi?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,189
79,421
Kuna mtu anamaelezo kujua ile project imeishia wapi? ipo au imekufa? Asanteni maana tunachoka na kupeleka wagonjwa nje! gharama
 
Ipo kwani kulikuwa na ujenzi unaendelea Moshi karibu na kile kilichokuwa kiwanda cha Kilimanjaro Mashine Tools, last time nilipita pale nilikuta ujenzi unaendelea kwa kasi
 
Mtu kama Mzee Mengi aliyechangia kwenye mambo lukuki-ujenzi wa mashule,walemavu,malaria,misikiti,upandaji miti na mengineyo mengi, ndiyo hawa heshimiwi na serikali lakini mafisadi nyangumi wanao kwapua kama awana akili se awa sawa,wana toa shilingi wanachukuwa shilingi mbili, ndio serikali inawaheshimu.

Asante Mzee Mengi kwa moyo mkunjufu!
 
Ujenzi ulianza kwa kasi sana, lakini ghafula ujenzi ulisimama tangu mwaka jana hakuna mtu wala shughuli yoyote inayoendelea kwenye site.
 
Ilibidi ujenzi usimame kwani mzee alikuwa anafungua VIKOBA kuwasaidia wapambanaji wa ufisadi majimboni kwao!!
 
Ipo kwani kulikuwa na ujenzi unaendelea Moshi karibu na kile kilichokuwa kiwanda cha Kilimanjaro Mashine Tools, last time nilipita pale nilikuta ujenzi unaendelea kwa kasi

Ulipita lini? sio 2010. Hakuna kitu kinachoendelea. Ujenzi umesimama tokea last year.
 
Hiyo project ilikuwa special kwa ITV. Big ego Mengi kujishaua kama Kawaida. Ni sawa na ahadi zake za michango ya mamilioni.... Huishia kwenye TV na walioahidiwa kutoambulia chochote. Alijifanya anapambana na ufisadi sasa yuko beneti na Lowassa pamoja na Rostam. Mengi hahitaji kujenga taasisi ya cancer, yeye ndiye kansa.
 
Mtu kama Mzee Mengi aliyechangia kwenye mambo lukuki-ujenzi wa mashule,walemavu,malaria,misikiti,upandaji miti na mengineyo mengi, ndiyo hawa heshimiwi na serikali lakini mafisadi nyangumi wanao kwapua kama awana akili se awa sawa,wana toa shilingi wanachukuwa shilingi mbili, ndio serikali inawaheshimu.

Asante Mzee Mengi kwa moyo mkunjufu!
Umeshau kutaja na ile NICOL
 
Hiyo project ilikuwa special kwa ITV. Big ego Mengi kujishaua kama Kawaida. Ni sawa na ahadi zake za michango ya mamilioni.... Huishia kwenye TV na walioahidiwa kutoambulia chochote. Alijifanya anapambana na ufisadi sasa yuko beneti na Lowassa pamoja na Rostam. Mengi hahitaji kujenga taasisi ya cancer, yeye ndiye kansa.
Mzee shuwain yule akigombana na wafanyabiashara wenziwe anataka uwe ugomvi wa kitaifa..ila kiboko yake alikuwa Masilingi na Manji
 
Hiyo project ilikuwa special kwa ITV. Big ego Mengi kujishaua kama Kawaida. Ni sawa na ahadi zake za michango ya mamilioni.... Huishia kwenye TV na walioahidiwa kutoambulia chochote. Alijifanya anapambana na ufisadi sasa yuko beneti na Lowassa pamoja na Rostam. Mengi hahitaji kujenga taasisi ya cancer, yeye ndiye kansa.

Hivi unajua chanzo cha yote hayo hadi ile hosp ikaishia hapo ilipo? au unaropoka bila kufanya utafiti ujui nini chanzo hadi hyo project ikasimamishwa
 
Lazima kuna tatizo hakuwa na kibali labda lakini si wangempa kibali tu baada ya kuelekezwa cha kufanya? Tunahitaji hiyo huduma sana hapa nchini! Sijui wabunge wako wapi kutetea jambo hili.
 
Ukitaka kufanya chochote kitakachoinyima tenda za matibabu hospitali ya Appolo huko India cha moto unacho. Watu wana twenty percent zao pale.
 
Mzee Mengi ni mtu wa kuuza maneno tuu,vitendo hakuna!ujenzi ulianza nadhani akataka ufadhili wazungu wakashtuka
 
Back
Top Bottom