Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau Nimekuwa nikisikia na kuona Watu wakicheza dubwi aka Bonanza mchezo ambao Unaweka mia mbili na kubonyeza mnyama kisha Unaweza kushinda au kuliwa sehemu mbalimbali Watu hasa VIJANA wanapenda...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kutokana na hali halisi na kwa kuzingatia Mengi amegusa watu wengi ktk nchi hii, basi watu wengi wangependa kumuaga kwa makundi tofauti. Kwa maono yangu Karimjee hapatoshi kuhimili idadi ya watu...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya Mwanamuziki Godfrey Tumaini a.k.a Dudu Baya kuposit Video akiwadhihaki wahaya na kuwafananisha na Mbwa,wamemfungulia kesi wahaya hawataki mazoea
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Juzi juzi niliomba usafiri wa taxify toka Buzuruga mpaka City Council na kuelezwa safari yangu itagharimu wastani wa Tshs.3000. Nilipofika mwisho wa safari yangu dereva akanionyesha gharama...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Ratiba yenu haioneshi mwili wake kuagwa na wakazi wa moshi mjini! ukitoka dar. utapelekwa kijijini kwake, tukumbuke wakazi wa jiji la moshi walikuwa karibu naye sana katika kuliboresha jiji...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jamii Forum, kama mfululizo wangu wa masomo, leo napenda kuwashirikisha jambo hili hatari. Watu wengi wamejiingiza katika mambo wasiyoyajua kiundani na hii hupelekea matatizo...
2 Reactions
13 Replies
7K Views
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijichi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, anadai kupigwa na kujeruhiwa usoni ambako ameshonwa nyuzi sita na mumewe baada ya kumkatalia kufanya mapenzi kinyume na maumbile...
5 Reactions
55 Replies
32K Views
Nadhani kwa hali hii ya leo huku Dar es salaam tofaut inajionyesha dhahiri kati ya baba mwenye nyumba nani baba mwenye gari
0 Reactions
0 Replies
2K Views
https://africaanalysis.blogspot.com/2019/05/africa-warned-imf-policy-reforms-could.html?m=1
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Wakuu, Nimeona nilete hili hapa kwa mjadala mpana. Naona kuna wachungaji, mapadre na watumishi wa Mungu mbalimbali wakiponda waamini wanaotumia Bible App kwenye ibada badala ya bible yenyewe...
13 Reactions
164 Replies
16K Views
USHAURI WA DAKTARI: Chumvi ni hatari, je unapaswa kula kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Simba ni mnyama mkorofi sana, yeye kazi yake ni kuwanyatia wenzake wasio na nguvu Huwa anawatafuna au wale wengine wenye ubavu kidogo huwa anawatisha au kupambana nao Mara nyingi huwa ni...
0 Reactions
2 Replies
497 Views
NI NINI CHANZO KIKUU CHA UKOSEFU WA AJIRA ? ? ELIMU ? SERIKALI ? CULTURE ? MALEZI ? Jambo kwenu wote members, naomba tubadilishane fikra kwa swala hili zito linaloikabiri jamii yetu, Ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, naomba kujua kama ni vema sana kuendelea na hii kasumba ya kujenga nyumba halafu unazungushwa ukuta mrefu kabisa! Naona kuta hizi zinaleta matengano makubwa katika jamii yetu!!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu...mambo vipi! Nipo ninatengeneza Android App kwa ajili ya Ku-manage Mauzo ya duka la Mavazi(Nguo/Viatu etc). In about 2 weeks from now itakuwa imekamilika. Ninatoa offer kwa wewe mwenye...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wa dharura mwenye namba za simu kituo cha polisi Nyakato (Mwatex) Jijini Mwanza.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi hawa watu wenye vigugumizi siku hizi wamepotelea wapi,maana kipindi cha nyuma ilikuwa kama fashion,au kuna kitu huwa kinasababisha watu wa aina ile kuwepo,siku hizi wamekuwa adimu sana watu...
4 Reactions
58 Replies
11K Views
Hivi habari za utekaji polisi huwa hawana intelejensia? Au kusoma sms mitandaoni huwa imesetiwa kwa mwenyekiti wa ccm tu au ccm au intelejensia ya polisi huwa wanapata za maandamano na mikutano ya...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Agarey Mwanri, amefafanua kauli yake ya kumtaka Mungu amshukuru Rais John Magufuli ambayo aliitoa hivi karibuni ambapo amesema kauli hiyo ililenga kumshukuru kiongozi huyo...
4 Reactions
84 Replies
10K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi, linamshikilia raia mmoja wa china na wa Zanzibar wawili wakiwa na kobe wapatao 508 kinyume na sheria. Watatu hao Huang Xiaohua Huang(44), Makidadi Said...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…