Hivi hawa watu wenye vigugumizi siku hizi wamepotelea wapi,maana kipindi cha nyuma ilikuwa kama fashion,au kuna kitu huwa kinasababisha watu wa aina ile kuwepo,siku hizi wamekuwa adimu sana watu wa namna hiyo..
U...... u........ unase....m..... maje.....we....we bwamdogo.Hivi hawa watu wenye vigugumizi siku hizi wamepotelea wapi,maana kipindi cha nyuma ilikuwa kama fashion,au kuna kitu huwa kinasababisha watu wa aina ile kuwepo,siku hizi wamekuwa adimu sana watu wa namna hiyo..
Ninacho mkuu naongea kwa mapozi kunigundua itakuwa shidaHivi hawa watu wenye vigugumizi siku hizi wamepotelea wapi,maana kipindi cha nyuma ilikuwa kama fashion,au kuna kitu huwa kinasababisha watu wa aina ile kuwepo,siku hizi wamekuwa adimu sana watu wa namna hiyo..
sasa hapa ni kutafuta ugomvi na mungu,katika wazao wako,mmoja hatakosa kuwa nacho.Hivi hawa watu wenye vigugumizi siku hizi wamepotelea wapi,maana kipindi cha nyuma ilikuwa kama fashion,au kuna kitu huwa kinasababisha watu wa aina ile kuwepo,siku hizi wamekuwa adimu sana watu wa namna hiyo..
😂😂😂😂😂😂😂