Prince Kamugisha
Member
- Jul 29, 2018
- 96
- 237
Baada ya Mwanamuziki Godfrey Tumaini a.k.a Dudu Baya kuposit Video akiwadhihaki wahaya na kuwafananisha na Mbwa,wamemfungulia kesi wahaya hawataki mazoea
Hawana kazi ya kufanya, unamfunguliaje kesi chizi
Baada ya Mwanamuziki Godfrey Tumaini a.k.a Dudu Baya kuposit Video akiwadhihaki wahaya na kuwafananisha na Mbwa,wamemfungulia kesi wahaya hawataki mazoea View attachment 1088879
Sema wewe ndiye uliyemfungulia, maana ID yako imeshajieleza kuwa ni mhaya.Baada ya Mwanamuziki Godfrey Tumaini a.k.a Dudu Baya kuposit Video akiwadhihaki wahaya na kuwafananisha na Mbwa,wamemfungulia kesi wahaya hawataki mazoea View attachment 1088879
DEFERMATORY=DEFAMATORYHakuna kesi hapo!!!!!??? narudia hakuna kesi ya jinai wala ya madai . Maneno yoyote ya kudhalilisha ambayo humtaji mtu badala yake unataja kundi hayawezi kuwa DEFERMATORY. There is no defermation to the general public. Maneno hayo ya kuharibu hadhi na utu wa mtu lazima yamtaje mtu moja kwa moja na si kwa kundi.
Wakati wa kesi, ndiyo tutajua kama chizi kweli au anaigizaHawana kazi ya kufanya, unamfunguliaje kesi chizi
Hakuna utani wa wahaya na wasukumaAnaweza kusema ni utani wa kikabila...
Basi ni kumwekea FWATWAHakuna kesi hapo!!!!!??? narudia hakuna kesi ya jinai wala ya madai . Maneno yoyote ya kudhalilisha ambayo humtaji mtu badala yake unataja kundi hayawezi kuwa DEFERMATORY. There is no defermation to the general public. Maneno hayo ya kuharibu hadhi na utu wa mtu lazima yamtaje mtu moja kwa moja na si kwa kundi.