Dayosisi ya Kanda ya kasikazini ya Kkt , imeeleza kupokea kwa Masikitiko makubwa kifo cha Reginald Mengi kuwa ni janga, lakini wanamshukuru Mungu kwa uhai aliomkirimia Reginald,
askofu mkuu...
KAMA NILIVYOIPOKEA.
*GHAFLA MANENO YA MDUDE CHADEMA YAMENIPA NGUVU MPYA!*
Na Boniface Jacob
TAKRIBAN saa 24 zimepita nikiwa natetemeka na kunyongea kwa uoga. Nilikuwa kama kuku aliye bandani...
Naombeni msaada wana jamii forum.
Kuna mwimbaji mmoja wa nyimbo za injili aliimba wimbo akitaja majina ya Mungu na maana yake. Kama kuna mtu anamfahamu naomba anisaidie jina lake. Ni mwanaume.
Kumekuwa na matukio mengi ya kutekwa na kati ya matukio mia moja, inawezekana waliyorudi salama ni wawili au watatu akiwemo Mo Dewji. Tukumbushane rules chache kuhusu utekaji na hasa swanasiasa...
Hbrn za weekend wapendwa,
Nahitaji mkopo wa 1,500,000/- kwa marejesho ya mwaka mmoja tu.
Nia na madhumuni ya mkopo huo ni kwamba nina jirani yangu ana kiwanja anauza huko Kibaha kwa Mathias...
Leo nimejikuta naikumbuka siku ambayo nilifungua Account zangu za Facebook, Twitter na Instagram ni vitu gani nilianza kufanya..! Binafsi nikifungua Account cha kwanza kufanya ni kufollow au...
Kabla ya hotuba ya Rais kutoka viwanja vya Sokoine Mbeya nilipita watu walikuwa katika vikundi, wengine wakiwa mbashara kwenye TV na redio
Baada ya hotuba kutoka Mbeya nilipita mtaani kuangalia...
hiki kitabu kisitafsiriwe kwa lugha ya kiswahili hayati marehemu najua aliandika kwa lengo la watanzania ndio aliwatageti ila kwa lugha iliotumika wanaushiba chakula cha ubongo ni wengine kama...
BEHIND THE SCENE.
Watu wanapenda kuangalia movie jinsi inavyoleta raha na msisimuko lakini hawajui behind the scene nguvu kubwa kiasi gani ilitumika kukamilisha hiyo scene inayosisimua kwenye...
Ni ajabu chombo hiki kujiita Jukwaa la Wahariri Tanzania, ilifaa kijiite Jukwaa la Wahariri wachache na wa Print Media Tanzania.
Kwa miaka kadhaa sasa tangu chombo hiki kianzishwe huku...
Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti,
Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu...
Hii ni kutoa hamasa kwa vijana wenzangu wanaofanya kazi Posta. Wanaogopa kutembea kwa miguu (with public transport) wakati mwenzao Mrisho Mpoto anaona fahari kutembea peku peku!
Nawashauri tu...
Habarini wadau.
Naomba kuuliza kama inawezekana kumtumia mtu mzigo kwa posta ems halafu ikifika ndio ilipiwe na mpokeaji?
Natanguliza shukrani zangu za dhati toka moyoni.
Watahiniwa 91,442 wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita kuanzia leo Jumatatu Mei 6 hadi 23, 2019.
Mbali na hao, watahiniwa 12,540 wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya...
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na...
Hatimaye radio DREAM FM 91.3 ya jijini Mbeya, ambao ni waandaaji wa mashindano ya Miss Mbeya 2019 wametolea ufafanuzi zawadi ya bodaboda waliyoitoa kwa mshindi wa mashindano hayo ya urembo. Wasema...
Mapema leo natumia mtandao fulani wa kijamii nimekutana na hii picha mpaka imenisononesha,vijana toka familia duni wamekua wahanga wa kubwa na ukosefu wa ajira.Huyu bwana mdogo ana degree mwaka wa...
Sijui labda niko nyuma ya wakati au la.
Hivi kuna mwanamuziki anaitwa Wakazi? Ni mtanzania? Anaimba muziki gani?
Mimi sio mtu ambae naweza kuachwa nyuma na mambo au matukio sio tu Tanzania...
Habari wana JF
Kwanza kabisa lazima tukiri kila nafsi itaionja mauti (hapa tuna uelewa wa pamoja). Pili, jambo la kufikirisha ni unakufaje, baada ya kufa utapata status gani? hayati au marehemu...