Ready or not, someday it will all come to an end. They will be no more sunrises, no minutes, hours or days. All the things you've collected whether treasured or forgotten will pass to someone...
Hii wiki yametokea matukio hadimu sana kwenye siasa michezo na kijamii mengine yana furahisha mengine yanasikitisha mpaka inafika jumapili sijui itakuwaje
Nimejaribu kufuatilia skendo zake kuanzia kufufua watu kwa urongo,kula wake za watu na vitoto vidogo .
Ifike wakate ajitoe katika uchungaji awape wengine waendeleze kanisa.
Kwa heshima aliyonayo...
Habari ndiyo hiyo kuwa mradi huu utaifilisi Tanzania milele! Nimeambatanisha technical report ya athali za mradi huo.
Kwa naojua kizungu someni wenyewe.
Africa's 'last great wilderness' in...
Ali ni moja ya mchezaji wa timu ya coast, pia amejinasibu ye ni mdhamini wa Timu.
Sasa Ali kiba siku zote hayuko serious na mambo yake.
Mziki umemshinda mkimkumbatia mtashuka daraja.
Siku zote Ali...
Ndugu zangu waandishi wa habari,
Naomba nianze kwa kuwashukuru nyote kwa kupokea mwaliko wangu wa kuwaita katika mkutano huu na pia kwa kuja kwenu hapa kunisikiliza. Nataka niwahakikishie kuwa...
Baada ya Video yenye utata inayoashiria kuwa na maudhui ya kingono ambayo inahusishwa na Askofu huyo, Jeshi la Polisi limefunguka kuwa limemuita ajieleze.
Kwa Mujibu wa Kamanda Mambosasa, Askofu...
Majengo ya zamani ambayo sasa ni magofu kama Yale ya Kilwa, Bongoyo, mbudia, Isimila, Bagamoyo, nk yatakuwa na maana Kwa wananchi na watalii kama tutayakarabati kidogo bila kupoteza Sana Sura yake...
Hapo vip!!
Kuna hakimu mmoja anaitwa somebody Nganga ni gwiji na kula rushwa pale mahakamani.
Leo kuna rafiki angu mmoja Baba yake aliandisha Wosia kwa wakili Median Mwale.. Ni mzee mwenye mali...
VIJANA MNAOTUMIKA UPINZANI NA NGUVU NYINGINE ZA KIZA KUWENI CHONJO NA PEMBETATU HII YA HATARI, MTAPOTEA
Nafahamu wengi mnajua kwamba kuna ile pembetatu ya hatari zaidi duniani ya Bermuda ambako...
Hivi hizi habari wawili kukamatwa wakinyonyana sehemu za uzazi wakiwa kwenye msiba wa mzee wetu,no za kweli?
Jana usiku nikiwa msibani hapo Kinondoni,palisikika maneno Cha chini ya carpet kuwa...
Nukuu yake ya “Your time is limited so don’t waste it living someone else’s life” . tafsiriye Usipoteze muda kuishi maisha ya mtu mwingine ukakosa kuishi wewe kama wewe. Hii ni nukuu muhimu sana...
Zipo biashara ambazo zinapaswa kufanywa na makanisa/misikiti,
kwa mfano; kumiliki vituo vya kulelea watoto/wazeze, kumiliki hospitali, kumiliki shule n.k
Makanisa kujiingiza kwenye biashara ya...
Asalaam aleykum wakuu.
Kwa wale wenzangu mnaoendelea na funga kutimiza amri ya Allah hongereni sana maana hili ni jambo bora kabisa ukiwa hapa duniani.
Kuna jambo moja nataka niwashirikishe leo...
Salaam waungwana.
Nimeshindwa kuangalia taarifa ya habari kutoka hichi kituo chetu yaani kila nikiangalia screen ya Tv nakutana na muangalio mbaya tu hivi tatizo nini TBC?
Ni kwamba kamera...
Haya ni maneno ya Mke wa Askofu Gwajima “Mimi ni Jasiri kama Simba, ukweli ninaufahamu, Mume wangu ninamfahamu na ninamuamini, na ukweli huo hakuna anayeweza kuubadilisha, niko pamoja na yeye...
Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amepiga marufuku wanasiasa kuingilia fani za taaluma za madaktari, wakunga na wauguzi nchini.
Ummy ameyasema hayo bungeni...