Maajabu

Maajabu

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Hivi hizi habari wawili kukamatwa wakinyonyana sehemu za uzazi wakiwa kwenye msiba wa mzee wetu,no za kweli?

Jana usiku nikiwa msibani hapo Kinondoni,palisikika maneno Cha chini ya carpet kuwa wawili hao ambao kiasili ni wanafamilia wa tajiri huyo kukamatwa wakiivunja amri pendwa [emoji2395]

Mwenye maneno zaidi atujuze na kutuhabarisha
 
Ngoja tusikie utoka kwa watu waliokwepo hapo...
 
Mange naye yupo kwenye mfungo...hizi tungepata mpaka picha yenye sauti
 
Mnapenda habari za udaku sana.

Mambo ya kuajdiliwa FB mnayaleta huku JF.
 
Back
Top Bottom