IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Ali ni moja ya mchezaji wa timu ya coast, pia amejinasibu ye ni mdhamini wa Timu.
Sasa Ali kiba siku zote hayuko serious na mambo yake.
Mziki umemshinda mkimkumbatia mtashuka daraja.
Siku zote Ali ni MTU wa kudai huruma kwa mashabiki sasa mpira sio mziki,.
Wachezaji hawalipwi mishahara sasa anatoa udhamini wa aina gani?