Zipo biashara ambazo zinapaswa kufanywa na makanisa/misikiti,
kwa mfano; kumiliki vituo vya kulelea watoto/wazeze, kumiliki hospitali, kumiliki shule n.k
Makanisa kujiingiza kwenye biashara ya mabank ni tamaa zenye usanii mtupu kwasabu;
Vinginevyo huenda benk zao ziwe hazikopeshi wala hazidai!
Watu wa Mungu wakianza kupelekana mahakamani ni kufuru kwa mwenyezi Mungu kwasababu Imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeae mwanadam kuwa kinga yake, kumtegemea hakimu kuamua kesi ni laana,
watu wa Mungu wajikite kwenye biashara za kiroho zaidi mbali na mabank!
Ukiwa na bank utahitaji walinzi wa bunduki wakati neno linasema, Mungu asipo ilinda nyumba Wakeshao wajisumbua bure.
MAKANISA NA MISIKITI ACHENI BIASHARA YA MABANK HAIWAFAI

- ukifungua bank utahitaji faida,
- ukifungua bank utahitaji riba,
- ukifungua bank utakopesha watu na kuwafilisi,
- ukifungua bank utakopesha watu wasipolipa utawapeleka mahamani (kwa hakimu)
- ukifungua bank utahitaji faida
- ukipata hasara utanung’unika