Naomba hela ya ftari leo sina kitu

mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,406
1,889
Asalaam aleykum wakuu.
Kwa wale wenzangu mnaoendelea na funga kutimiza amri ya Allah hongereni sana maana hili ni jambo bora kabisa ukiwa hapa duniani.

Kuna jambo moja nataka niwashirikishe leo hii ila naomba nisieleweke vibaya miongoni mwenu kwani najua baadhi yenu ni wahanga mmeshakutana nayo haya.

1.Mtu kafunga ila anaomba pesa ya futari kutoka kwa hawala yake ,yaani vibomu vya futari kila kona.

2.Ikikaribia sikukuu vibomu vinahamia kwenye nguo ya sikukuu.

Wanawake ndio wanaongoza kwa hili.

Inakera sana bandugu.
 
Haifai kumfuturisha hawala, saumu itabatilika
 
Si mmeambiwa mkifunga msaidie wenye uhitaji, unafunga huku una kinyongo hicho si bora uache tu uje tuendeleze kutupia lager 😂😂😂
 
ONGEZEA NA KERO HIZI:

Unafunga,

chai na vitafunwa vya asubuhi unavihifadhi ili ule ukishafungulia,

Chakula Cha mchana unahifadhi ili ule ukishafungulia!!!

Chakula Cha Usiku unakijumuisha saa Kumi na mbili JIONI unavila vyote kwa pamoja😔

Happy umefunga Nini? HAPO ULICHOFANYA UMEKUSANYA MILO MITATU UMEILA KWA WAKATI MMOJA,HUNA ULICHOFUNGA!!

Mchana unatongoza demu , Demu anakubali kwenda kiliwa MZIGO, Unamwambia subiti nikifungulia JIONI😓

Umefunga wewe kwa hiyati yako na Mungu wako, Lakini umenuna na ukiguswa TU , MI NIMEFUNGA USINIHARIBIE SWAUMU YANGU🤣 Umeulizwa Kama umefunga?

Kazi ofisini hufanyi ! Ukiulizwa unasema NIMEFUNGA!!! Funga NI yako na Mungu wako Kwanini uwataabishe wengine?

Migahawa huko Zanzibar imefungwa yote kiss wewe umefunga unasahau kuna wagonjwa na watoto na wa Dini nyingine hawajafunga wote unataka wakufuate wewe 😔😔

KERO NI NYINGI HASWAA.
 
Chakula Cha Usiku unakijumuisha saa Kumi na mbili JIONI unavila vyote kwa pamoja

Happy umefunga Nini? HAPO ULICHOFANYA UMEKUSANYA MILO MITATU UMEILA KWA WAKATI MMOJA,HUNA ULICHOFUNGA!!

Mchana unatongoza demu , Demu anakubali kwenda kiliwa MZIGO, Unamwambia subiti nikifungulia JIONI

Umefunga wewe kwa hiyati yako na Mungu wako, Lakini umenuna na ukiguswa TU , MI NIMEFUNGA USINIHARIBIE SWAUMU YANGU Umeulizwa Kama umefunga?

Kazi ofisini hufanyi ! Ukiulizwa unasema NIMEFUNGA!!! Funga NI yako na Mungu wako Kwanini uwataabishe wengine?

Migahawa huko Zanzibar imefungwa yote kiss wewe umefunga unasahau kuna wagonjwa na watoto na wa Dini nyingine hawajafunga wote unataka wakufuate wewe

KERO NI NYINGI HASWAA.
Kwani si ndio hivi waislam hufanya, halafu kuna samaki hapa anacheka kwamba wakristo wanafunga hawali nyama pekee au kuku pekee, hajui hata kufunga ni nini!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom