Katika kizazi hiki cha nyoka.......wanawake wengi.....ususani wale wenye maendeleo ya kimaisha wamekua wakikutana na changa moto za kutopata wanaume wa kuwoa........
Kwa Maoni yangu naona sababu...
Nasikitika kituo cha polisi Laela kina utaratibu ambao sio mazuri. Bus zikichelewa kufika kutokea dar usiku kuanzia saa tano na nusu yanalala sehemu ambazo hamna huduma za kijamii. Watu...
Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
habari wadau.
nimekuja india kikazi. nimeona wahindi wanajua sana kuongea kiingereza.. hata wa mtaani.. anaongea english nzuri japo wana mother tongue yao..
lugha yao ya taifa sio english ni...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ni ngumu kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa homa ya Dengue kwa kuwa mbu wanaoambukiza ugonjwa huo wanauma wakati wa mchana tofauti na mbu wanaoambukiza Malaria...
KUKAMILIKA kwa ujenzi wa gati namba moja katika Mradi wa Uboreshaji wa Gati Namba moja hadi saba na kuanza kutumika katika Bandari ya Dar es Salaam, ni miongoni mwa mafanikio makubwa 14 yaliyo...
Hawa watu tutawakumbuka sana mzee philemon ndesamburo pamoja na mzee reginald mengi
Hakika tumebaki kama yatima tunamiss uwepo wenu daah
Pumzikeni kwa amani
Nilichojifunza kutoka kwenu ni...
Kifupi jana mchana nilipoteza simu yangu ndogo aina ya samsung ya tochi sikumbuki kama labda niliisahau sehemu nilipokua nimekaa au niliibiwa , nikaamua kwenda voda kwanza mana zilikuwepo line...
Zile enzi za mtu kuwa na kadi za harusi 5/6 mkononi za send off na harusi na zote ukazitendea haki hakika sasa zimekata kabisa!
Zama hizo bar,pubs na hotel nyingi hapa Dar week end zilishamiri...
Mwalimu mmoja wa shule ya msingi wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza amefikishwa mahakamani katika wilaya hiyo kwa kosa la kumchapa Mwanafunzi na kumvunja mkono.
Taarifa zinasema Mwalimu huyo...
Wanajf habari za leo.! Poleni na KAZI! Niwakumbushe tu kwamba kufanyakazi kwa bidii na akili ni nuru ya MAENDELEO!
Naja kwenye Hoja sasa, nchi zote za Africa mashariki zimegoma kuongeza mishahara...
Hili naamini haliwezi kumshinda.
Wakati bado tunatafuta bilionea mwenye huruma wa kuvaa viatu vya mzee Mengi, napendekeza mkuu wa mkoa DSM kupitia wafadhili wake achukue hiki kikombe.
Watanzania tuache chuki ya wazi kabisa dhidi ya jamii hususani kijana Makonda.
Kauli ya Makonda haikutakiwa kua big deal wala haikustahili aombe msamaha.
Walemavu kwenye hotuba yao ,walisema...
Nilitegemea idadi ya watu mnaojinyonga na kujikuua iwe kubwa kwa sababu maisha yanaoneokana Kuwa magumu sana kila upande mateso na mahangaiko kila kukicha.Cha ajabu mnataka kuishi miaka mingi...
Waungwana habari zenu?
Mimi sina mengi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Mke wangu kajifungua mtoto siku ya juzi,lakini changamoto mtoto hakulia kabisa wakati wa kuzaliwa,ningependa kujua ni...
Yule mgonjwa akamjibu, "Bwana mimi sina
mtu wa kunitia birikani maji yanapotibuliwa, kila wakati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu” Yohana 5:7.
Hiki ni kilio cha watu wengi, yule...
Habari na poleni na msiba wa Mzee Mengi,bila kupoteza muda niende kwenye mada;malipo ya mwezi ya kisumbusi changu kilikwisha jana 8.5.2019 lakini kutokana na usawa bado unabana bado sijapata pesa...
Mpaka hivi sasa kuna Watu Wawili nawafahamu walikuwa ' Wahasibu ' wa muda katika Misiba kadhaa ya ' Matajiri ' na Watu ' Maarufu ' mno nchini Tanzania na sasa Maisha yao yamebadillika ghafla huku...