Mwanza: Mwalimu amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumchapa Mwanafunzi na kumvunja mkono

Kyakashombo

Senior Member
Oct 13, 2018
150
232
Mwalimu mmoja wa shule ya msingi wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza amefikishwa mahakamani katika wilaya hiyo kwa kosa la kumchapa Mwanafunzi na kumvunja mkono.
Taarifa zinasema Mwalimu huyo alikuwa akifafundisha wanafunzi jinsi ya kucheza mpira wa Pete, na akawaonya wanafunzi kuwa atakayedondosha mpira atapata adhabu, ndipo mmoja wao mpira ukadondoka na kuchapwa. Katika harakati za kujiokoa akatega mkono na ukavunjika.
Hakimu ameahirisha kesi mpaka tarehe 13/05 na mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana
 
Walimi walimu walimu.....
- je, ni hasira za kutoongezwa hela?
-au ni Ibilisi tu anawapiyia?
-na kwann kama Ibilisi anawapitia hamumuulizi anako wapeleka?
-enyi waalimu basi kuweni na moyo wa Uvumilivu kama Mama Jeska !!
-we Sizonje kuwa na huruma japo kidogo !!
 
Back
Top Bottom