Hakuna anayependa kufa japo maisha magumu

Hakuna anayependa kufa japo maisha magumu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,402
Nilitegemea idadi ya watu mnaojinyonga na kujikuua iwe kubwa kwa sababu maisha yanaoneokana Kuwa magumu sana kila upande mateso na mahangaiko kila kukicha.Cha ajabu mnataka kuishi miaka mingi mingi muone mengi na wengine mngetamani kabisa tuishi milele.
 
Wote wanao wasujudia hao kwenye avatar yako hawana maisha magumu, wewe mwenzetu vipi?
 
Kufa hatutakufa ila cha moto tunaendelea kukipata. Najua unafurahia sana kuona wenzako tunapata tabu ila , "what goes arround comes arround" . It's just a matter of time.
 
Nilitegemea idadi ya watu mnaojinyonga na kujikuua iwe kubwa kwa sababu maisha yanaoneokana Kuwa magumu sana kila upande mateso na mahangaiko kila kukicha.Cha ajabu mnataka kuishi miaka mingi mingi muone mengi na wengine mngetamani kabisa tuishi milele.
Wengi wanapenda kufa tatizo ni woga wa kujiua na pia hofu ya kutokujua uendako!
 
Tunapoelekea Jf itakuwa na threads ambazo pumba zake hata kuku hawatoweza kuzila. Hii ni txt au thread
 
Kila mtu ana matumaini ya kutoka kimaisha. Ndio maana unaona hakuna anayejinyonga
 
Nilitaka kushangaa unaanzaje kuaga kuacha kutumia JF???
Hata Sky Eclat hapo juu alishawahi kutuaga...but look at her,tuko nae kila siku humu 😂😂😂
Msiondoke bhana,tunawapenda humu
kasura is upole. Kweli unakatendea haki. 👏👏👏
 
Back
Top Bottom