Mtoto kutokulia wakati wa kuzaliwa

Mtoto kutokulia wakati wa kuzaliwa

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,031
Reaction score
1,900
Waungwana habari zenu?
Mimi sina mengi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Mke wangu kajifungua mtoto siku ya juzi,lakini changamoto mtoto hakulia kabisa wakati wa kuzaliwa,ningependa kujua ni madhara gani mwanangu anawezapata hapo baadae.
Ahsanteni
 
Kiganga huyo hatokua vizuri, kuna mambo ya ajabu yanaweza kumpata kuanzia kwenye afya yake hata uhai, nisikutishe kiongozi hii ni imani yangu mimi kwa uzoefu wangu tusubiri wanasayansi waje
 
Mtoto Anapolia anafungua milango ya Fahamu ambayo inafanya ubongo wake kuwa active kiutendaji na kiukuaji but all the best
 
When God becomes Jehovah Shalom, the God of peace, in your life, He doesn’t just soothe your emotions. He will lead you with His peace in all your endeavors!!
#supernaturalincrease

Kama alizaliwa kwa c-section mtoto hawezi kulia na hii haina madhara lakini mara nyingi huge uzwa upside down (kichwa chini miguu juu) ili ku stimulate nervous kwa ajili ya kufungua mifumo ya nervous..

So hamna tatizo hapo

Unaweza download app hii ili uweze kufuatilia mienendo ya ukuaji wa mtoto http://goo.gl/987oND

Goodluck..
 
Back
Top Bottom