Mengi na ndesamburo tutawakumbuka sana

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Hawa watu tutawakumbuka sana mzee philemon ndesamburo pamoja na mzee reginald mengi

Hakika tumebaki kama yatima tunamiss uwepo wenu daah

Pumzikeni kwa amani

Nilichojifunza kutoka kwenu ni kujitoa kwa kila hali na mali na kujitoa kwa ajili ya wengine na pia kuzitafuta pesa kwa bidii

Jamani naomba mnambie kama mzee ndesa aliandika kitabu

Kitabu cha mzee mengi lazima nikitafute yaani bora tu uliandika kitabu...
 
Kuna kitu nimejifunza kwa hawa Wazee. Wote waliacha kazi wakajiajiri ndipo wakatoka. Hapo pia yupo Shirima wa Precision na Ernest wa Ernist & Young
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom