Uko sehemu gani?Kwa mwenye mbwa wa aina taja hapo juu ani PM tufanye biz.
Sitaki hata kusikia hao takataka wagerman yaani wanapiga kelele sijawahi kuona katika historia ya wanyama si mchanasi usiku! Yaani huwa napata hasira usiku natamani nitoke na gongo niwagonge kichwaniKwa mwenye mbwa wa aina taja hapo juu ani PM tufanye biz.