★ Je ni sawa mwanamke kuvaa boxer badala ya chupi ★

Won mawila

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
83
Reaction score
56
Habari watu wangu wa nguvu baada ya kupigwa ban ya nguvu kabisa sasa nmeludi tena hapa na niwatoe hofu mm ni mzima kabisa naendelea na majukumu yangu kama kawaida natumai mu wazima wa afya

Sasa kuna hili jambo naona halijakaa sawa kabisa ivi inakuaje mwanamke mzurii na unaejielewa unavaa boxer badala ya kuvaa chupi na wewe mwanaume unajisikiaje pale unapomkuta mwanamke kavaa boxer muwapo sita kwa sita yani nipicha gani inajengeka akilini mwako!! kiukweli mimi naonaga kama npo na mwanaume mwenzangu tu

Sasa leo nmeenda kumtembelea huyu mwanamke kwake ni baada ya kujiridhisha kuwa anaishi mwenyewe ni baada ya kufiwa na mumewe miezi kadhaa iliyopita sasa nlivyofika tu nkasitaajabu baada ya kuona maboxer mengi yameanikwa kambani wakati najua kabisa anaishi yeye na watoto wake wawili wa kike nikaona nimuulize ni ya nani haya hakujibu sasa nkaona nisimuache mpweke ngoja nimshughulikie aisee nakuta kavaa boxer ham zote zikakata ghafla nkaona kama lijinaume hivi aisee chupi ina raha yake wakati wa mapenzi yani baada ya kumvua mwanamke chup unamvua boxer aaajamani wanawake badilikeni.
 
Uamuzi wa mtu jinsi anavyotaka kujisitiri, hili nalo la kujadili humu?
 
Nitavaa chochote nitakacho jisikia coz hamna aliyenishikia bunduki.
 
Habari watu wangu wa nguvu baada ya kupigwa ban ya nguvu kabisa sasa nmeludi tena hapa na niwatoe hofu mm ni mzima kabisa naendelea na majukumu yangu kama kawaida natumai mu wazima wa afya

Sasa kuna hili jambo naona halijakaa sawa kabisa ivi inakuaje mwanamke mzurii na unaejielewa unavaa boxer badala ya kuvaa chupi na wewe mwanaume unajisikiaje pale unapomkuta mwanamke kavaa boxer muwapo sita kwa sita yani nipicha gani inajengeka akilini mwako!! kiukweli mimi naonaga kama npo na mwanaume mwenzangu tu

Sasa leo nmeenda kumtembelea huyu mwanamke kwake ni baada ya kujiridhisha kuwa anaishi mwenyewe ni baada ya kufiwa na mumewe miezi kadhaa iliyopita sasa nlivyofika tu nkasitaajabu baada ya kuona maboxer mengi yameanikwa kambani wakati najua kabisa anaishi yeye na watoto wake wawili wa kike nikaona nimuulize ni ya nani haya hakujibu sasa nkaona nisimuache mpweke ngoja nimshughulikie aisee nakuta kavaa boxer ham zote zikakata ghafla nkaona kama lijinaume hivi aisee chupi ina raha yake wakati wa mapenzi yani baada ya kumvua mwanamke chup unamvua boxer aaajamani wanawake badilikeni.
Mbona wanawake wanavaa raba za kiume na men's outfit na inaonekana kama mavazi hayo unisex.

Unashangaa mambo ya ndani faraghani yasiyooneka hadharani, badala ya mambo nje uyaonayo mchana kweupe bila miwani.

Hii ibaki mitazamo binafsi tu juu ya kipi sahihi na kipi si sahihi.
 
Mwanamke chupi bhanaa tena ile nyeupe kabisa na iwe safiiii
 
Habari watu wangu wa nguvu baada ya kupigwa ban ya nguvu kabisa sasa nmeludi tena hapa na niwatoe hofu mm ni mzima kabisa naendelea na majukumu yangu kama kawaida natumai mu wazima wa afya

Sasa kuna hili jambo naona halijakaa sawa kabisa ivi inakuaje mwanamke mzurii na unaejielewa unavaa boxer badala ya kuvaa chupi na wewe mwanaume unajisikiaje pale unapomkuta mwanamke kavaa boxer muwapo sita kwa sita yani nipicha gani inajengeka akilini mwako!! kiukweli mimi naonaga kama npo na mwanaume mwenzangu tu

Sasa leo nmeenda kumtembelea huyu mwanamke kwake ni baada ya kujiridhisha kuwa anaishi mwenyewe ni baada ya kufiwa na mumewe miezi kadhaa iliyopita sasa nlivyofika tu nkasitaajabu baada ya kuona maboxer mengi yameanikwa kambani wakati najua kabisa anaishi yeye na watoto wake wawili wa kike nikaona nimuulize ni ya nani haya hakujibu sasa nkaona nisimuache mpweke ngoja nimshughulikie aisee nakuta kavaa boxer ham zote zikakata ghafla nkaona kama lijinaume hivi aisee chupi ina raha yake wakati wa mapenzi yani baada ya kumvua mwanamke chup unamvua boxer aaajamani wanawake badilikeni.
Boxer inaongeza mvuto mm napenda
 
Hiko kidemu chako kitakuwa chembamba, demu awe na shepu matata halafu akuvalie boxer chumbani tena iwe ya kwako daaaah[emoji8] raha sana!!!
 
Back
Top Bottom