Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MRADI wa ujenzi wa barabara sita kutoka Kimara hadi Kibaha Maili Moja mkoani Pwani, utakuwa na madaraja mapya matatu pamoja na fly over moja itakayojengwa eneo la Mloganzila. Hayo yalielezwa...
7 Reactions
54 Replies
13K Views
Mhenga yeyote aliyebahatika kuwa na kitabu hiki na bado anacho tuwasiliane tafadhali. Kitabu kinaitwa Kipigo cha Dunia!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema imepata taarifa za notisi ya kutaka kufungwa kwa baadhi ya viwanda vinavyotumia gesi asilia ila inachukua hatua kunusuru hali hiyo. Hayo yamesemwa na naibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eneo la Uhasibu Reginald Mengi aliajiri Wahindi ambao wanasifika kusimamia kwa uaminifu mkubwa finances... Mfano mmoja wapo ni Mhasibu wa IPP FM Srinivas Chitanturi na wengine ambao wapo kwenye...
15 Reactions
87 Replies
14K Views
Maneno ya maskini wa mawazo ,ufahamu hayajasababisha nisiwe na furaha na ku enjoy mbuga za wanyama arusha.namshukuru Member mmoja ambaye alionesha ustaarabu akaamua kuja Karatu tuonane na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hapo Vip! Kutoka na watu wengi kulalamika dhidi ya maamuzi yanatolewa na mahakama Kupitia mahakimu, Kwani lisiundwe jopo la kuthamini hukumu za mahakama kabla hukumu haijasomwa Kwa mlengo. Ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni siku nyingi zimepita Mh. Salim Ahmed Salim ambae amewahi kushika nyadhifa mbalimbali kubwa hapa Tanzania (ikiwamo Waziri Mkuu wa tano) na Afrika hajasikika. Mwenye taarifa zake atujuze...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Marekani yatuma mfumo wa kukinga makombora na meli ya kijeshi mashariki ya kati huku wasiwasi kati yake na Iran ukiendelea Meli hiyo ya kivita ya USS Arlington, inayosafirisha magari na ndege ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu swalaaamaaaa Kama mada inavyojieleza Kwa muda mrefu sasa nimekua Nikijiuliza why viatu vyangu vyote vya mguu wa kushoto huwa vinawahi kuisha/kuharibika kuliko vya mguu wa Julia Sina...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekutana na “documentary” ya mwandishi wa BBC kutoka Kenya ikifichua kuhusu “Night Runners”, sijui Kiswahili chake. Mwandishi anaelezea jambo hili kuwa ni jambo amekuwa akilisikia katika maisha...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wanasiasa 98+ ni mabingwa wa ushirikina na kafara,kuanzia ngazi ya chini hadi juu. Ukikaribia uchaguzi kunakuwa na matukio ya ajabu sana,kuchuna ngozi ya binadamu,n.k Wengi humu jf mtabisha kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Utata:usajiri wa uanachama wa ccm kutumia detail za vitambulisho vya upigaji kura je haina madhara baadae?? vyama vingine mko wapi?? naweza nikawa sijaeleweka katika aina ya uandishi wa kichwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tabia za watu zina mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote lile. Ili tuendelee lazima tujenge nidhamu na tabia za watu wetu. Taifa lenye watu wasiokuwa na nidhamu haliwezi kuendelea. Huu...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeshinda milioni 5 za biko kwa simu ya mtu, niliweka salio kwenye simu yake nikacheza biko nimeshinda jamaa anataka kunipa laki moja tu nyingine yote achukue yeye kisa simu yake na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
The thinking begins We are all saddened by the passing of Dr.Mengi who by all means was one of the greatest men of our land. Death is to human,so we are all to destined to the grave. The...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa nini wanaume wengi ni wasaliti? Jawabu : kwa nini wanawake wengi ni wasaliti? Kwa nini wanawake wanajiuza ? Jawabu : kwa nini wanaume wananunua madada poa? Kwa nini ndoa za siku hizi...
1 Reactions
3 Replies
962 Views
Hali si njema kwakweli harafu ukisoma maelezo hapo ni kwamba tupo off track. Ni shidaa..
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Nikweli kwamba binadam tyulio wengi huzaliwa katika mazingira yaliyo duni hata fikia zetu huchangia kulingana namalezi yetu tunayo lelewa .Inafikia kipindi katika makuzi yetu yanakuwa na...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Kile Chama kimepata Katibu mwenye fikra na busara zaidi ya mkubwa wake... Katibu anawaza yaliyo na hekima ya uongozi zaidi ya aliye juu yake... Mwenyekiti alifanya uteuzi wa kijana wake ndani ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kesho naelekea njombe nimepatwa na msiba Ila ni Mara yangu ya kwanza kwenda huko kijiji kinaitwa kidegembye,naomba kufaham km kunamtu nimwenyeji maeneo hayo cos humu wadau,kunawatu wa sehem...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…