"Ukweli siku zote huharibu utamu wa hadithi" ;kuzaliwa maskini sio dhambi Bali kufa maskini ni dhambi.

kissambivi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
218
119
Nikweli kwamba binadam tyulio wengi huzaliwa katika mazingira yaliyo duni hata fikia zetu huchangia kulingana namalezi yetu tunayo lelewa .Inafikia kipindi katika makuzi yetu yanakuwa na Changamoto nyingi zinazo pelekea Kumaintain mazingira .Hapo ndipo Kasi ya Ubongo huanza kufifia mdogo mdogo.
Huanza kukubaliana na mazingira nandivyo mwanzo wa uoga na ufumbuzi hupelekea mtazamo mkubwa yenye kukosa (confidence )kujiami na hapo ndipo ndoto huanza kutumia kulingana na utendaji wa fikra na vitendo kwa kile ulicho fikiri.




Tupeane maujuzi kwa kutengua kauli........
 
Back
Top Bottom