Mwenye kufahamu taarifa za Mh. Salim Amed Salim

Sambwisi

Senior Member
Nov 12, 2010
175
67
Ni siku nyingi zimepita Mh. Salim Ahmed Salim ambae amewahi kushika nyadhifa mbalimbali kubwa hapa Tanzania (ikiwamo Waziri Mkuu wa tano) na Afrika hajasikika.

Mwenye taarifa zake atujuze tufahamu kuhusu kiongozi wetu
 
He is seriously sick.
Sijui kwa nini Serikali huwa haipendi kutoa taarifa za viongozi wanapokuwa wagonjwa? Inasemekana hata Lowassa yuko hoi.
 
IMG-20190508-WA0005.jpg

Naskia hali yake si nzuri sana,Mwenyezi Mungu Amjaalie nafuu mzee wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom