Ushauri: Viatu vyangu vya mguu wa kushoto vinaharibika sana kuliko vya mguu wa kulia

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,375
Wakuu swalaaamaaaa

Kama mada inavyojieleza

Kwa muda mrefu sasa nimekua Nikijiuliza why viatu vyangu vyote vya mguu wa kushoto huwa vinawahi kuisha/kuharibika kuliko vya mguu wa Julia

Sina ulemavu na natembea vizuri ila sijajua chanzo hasa cha kufanya viatu vya mguu huu wa kushoto viwahi kuharibika

Naombeni ushauri nini nifanye kuondokana na hili tatizo

Azoge
 
Una matege, na wakati unatembea uzito mwingi unakuwa kwenye kisigino kama sijakosea sehemu inayoharibika sana ni ya kisigino si ndio?
 
Wakuu swalaaamaaaa
Kama mada inavyojieleza
Kwa muda mrefu sasa nimekua Nikijiuliza why viatu vyangu vyote vya mguu wa kushoto huwa vinawahi kuisha/kuharibika kuliko vya mguu wa Julia
Sina ulemavu na natembea vizuri ila sijajua chanzo hasa cha kufanya viatu vya mguu huu wa kushoto viwahi kuharibika
Naombeni ushauri nini nifanye kuondokana na hili tatizo
Azoge
Kuwa na mazoea ya kuvivaa kwa mzunguuko yaani Leo ukikivaa kulipa kesho kivae kushoto na chakushoto kivae kulia utaona vinaisha kwa pamoja.
 
Kuwa na mazoea ya kuvivaa kwa mzunguuko yaani Leo ukikivaa kulipa kesho kivae kushoto na chakushoto kivae kulia utaona vinaisha kwa pamoja.
Hahahaha mkuu jiwe mtukufu wa chatu njoo ujionee mawazo mazuri ya tanzania ya vi wanda, R.I.P. MENGI UME JIONDOKEA UKAACHA UTAMU WAKO HV HV
 
Hayo ni madhara ya kuvaa pair 1, muda mrefu "...

Miguu yako itakuwa na matege kiasi ".. so uzito unaelemea upande 1 ... jitahidi uwe unavaa pair tofauti tofauti itasaidia kupunguza kuisha kwa viatu haraka '....---kama hilo la kuisha viatu upande 1, linakukera sana basi kazana ununue usafiri wako "..... utakuwa umeepuka kutembea kwa miguu kwa muda mrefu " hali ambayo ndio huwa ina changia viatu kuisha haraka ---haswaa kuisha kwa mtindo huo
 
Fanya Legs Balance and Legs allignment.nenda kamwone dr wa mifupa umwambie akufanyie hayo mambo mawili ukichelewa utapata ulemavu.
 
Hahahaha mkuu jiwe mtukufu wa chatu njoo ujionee mawazo mazuri ya tanzania ya vi wanda, R.I.P. MENGI UME JIONDOKEA UKAACHA UTAMU WAKO HV HV
Hahaa watu wame vurugwa sana
tapatalk_1557399773039.jpeg
 
Aisee Kwa mara ya Kwanza na Mimi nimeamini Sisi binadamu tunafanana Kwa mambo mengi.....HILO TATIZO NA MIMI NINALO
 
Ukiona hivyo jua miguu yako inapaswa kufanyiwa alignment. Sawa na gari tairi zikianza kula kwa ndani au upabde mmoja hufanyiwa wheel alignment
 
Shida ni maumbile ya mguu wa kushoto. Kwa watu wengi mguu wa kushoto huwa mkubwa na mzito kuliko wa kulia, na hauko active sana yaani hauna mawasiliano mazuri na mwili kiasi kwamba hata unapotembea unatembea vibaya si kama wa kulia.
 
Kama soli inawahi kwisha dawa yake katambuga tu,Viatu vyako vyote charazia tairi za gari kwa chini.
 
Kuwa na mazoea ya kuvivaa kwa mzunguuko yaani Leo ukikivaa kulipa kesho kivae kushoto na chakushoto kivae kulia utaona vinaisha kwa pamoja.
Wewe itakuwa dereva wa magari, maana ulikuwa unamwelekeza jinsi ya kufanya tire rotation
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom