Share majibu ambayo ni maswali

Share majibu ambayo ni maswali

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
12,312
Reaction score
18,194
Kwa nini wanaume wengi ni wasaliti?
Jawabu : kwa nini wanawake wengi ni wasaliti?

Kwa nini wanawake wanajiuza ?
Jawabu : kwa nini wanaume wananunua madada poa?

Kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?
Jawabu : kwa nini ndoa za zamani zilidumu?

Kwa nini vijana wa siku hizi wengi wana vitambi?
Jawabu : hivi vitambi vinasababishwa na nini ?

Lini upinzani utachukua Nchi?
Jawabu : lini chama tawala kitaachia madaraka?

Unanipenda?
Jawabu : we unaonaje ?

Naomba ushare na wewe majibu ambayo ni maswali....
 
Hivi kweli utanioa?
Jawabu :kwani umeolewa ?
Hivi una pesa kweli wewe?
Jawabu :kwani mi benki?
Unaona kweli wewe?
Jawabu :kwani mi kipofu?
 
Back
Top Bottom