Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mweyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa ,Jenerali (Mstaafu) George Waitara amezindua mfumo mpya wa utendaji kazi ndani ya Hifadhi za Taifa unaopeleka madaraka zaidi katika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nawasihi sana wakulima wale manaoweka mahindi ili bei ipande, waulizeni wenzenu wa fedha za kigeni walivyodhulumiwa, watachukua mahindi kwa nguvu yauzeni hata kwa hasara, simuoni mtu wa kuwaonea...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini wakuu? Cheti changu cha kuzaliwa kimekosewa kuandikwa kidogo jina langu na limepishana na jina la liliopo kwenye vyeti vya kitaaluma. Ambapo nimepata changamoto halmashauri kunipokea...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu nimetoka kuambiwa na jamaa m1 Kuna watu wanapita mtaani kukamata ama kufunga biashara kwa wasio na vitambulisho vya ujasiriamali hata kama una zungusha nyanya mtaani unashikwa biashara yako...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Juzi nimefanya trip toka mjini mpaka kitaa kutumia app yao ya Bolt. Safari ilikuwa ya approximately 12km ambapo kwa initial price ilinipa 7000-9000 nikajua ikizidi basi walau elfu 10 sio...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Salaam wana JF Kama mada inavyojieleza Mimi nimehitimu degree(Bachelor) miaka 5 iliyopita na hadi sasa nafanya kazi za kuunga unga ingawa nalipwa ila hadi mwisho wa mwezi Nikakaa chini nikawaza...
3 Reactions
74 Replies
17K Views
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Sera za kanisa la Lutheran ni kwamba ukioa na kuolewa hakuna kuachana milele. Kuachana haipo wala talaka haitambuliki ndani ya taratibu za kanisa Watu wengi walioachana na kuishi na watu wengine...
8 Reactions
111 Replies
13K Views
Katika likizo yangu nilitoka Dar na kusafiri kwenda mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa kutumia kwanza usafiri wa anga na kurudi kwa kutumia usafiri wa nchi kazi. Nilipofika Mwanza nikaenda Kahama...
9 Reactions
101 Replies
22K Views
Nilikuwa na bishana na madaktari mwanzo mwisho. Na siku nyingine na goma kuhojiwa kwa sababu nilikuwa sitaki kubishana na wapumbavu. Ishu ninazoongea ni simple hazihitaji hata tuition kuelewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa wale wanaofahamu ningependa nifahamishwe ivi unawezaje kumtambua mtu aliyekuzunguka kuwa ni jasusi maana sasa hivi imefika hatua maeneo ya makazini, mtaani, sehemu za starehe, bar, sehemu za...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
https://mobile.mwananchi.co.tz/Habari/Waiba-vito-vya-dhahabu-jumba-la-Mengi/1597580-5111206-format-xhtml-12mpn13/index.html
1 Reactions
91 Replies
11K Views
Naomba tu nilete picha hii ya mh lowassa akiwa mjini zurich uswis ili kuwathibitishia wale waliokuwa wanasema yuko kitandani anaumwa yuko hoi mzee wa watu huyo hapo anadunda.
10 Reactions
57 Replies
9K Views
Habar za wakati wana jamvi. Ninapenda kushare nanyi malalamiko ya watu wengi kuhusu Taxify na madereva wao kwa wizi wanaowafanyia watumia huduma. Tukianza na Taxify wenyenye Juzi nimesafir KM 7...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba kuelekezwa zilipo ofisi za sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma, nimeitwa kwenye usaili. Zipo Kivukoni maeneo gani?, mimi natokea Mbagala. Ahsanteni!
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Jiji la Dar ni jiji lenye umaarufu lenye uchangamfu wa biashara na huduma mbali mbali! hii imechangiwa na uwepo wa shughul za serekali pamoja bandari. Cha kushangaza jiji hili limekumbwa na...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Mwanafilosifia nguli duniani (Socrates) aliwahi kusema "By all means marry, If u get a good wife you will become happy, if you get a bad one you will become a phylosopher".! Kwenu GT huyu...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Tanzania ina mabilionea wakimya sana. Ukiacha wale ambao wanatajwa kila siku wa Arusha. Maana huko najua kila mtu kule ni "Bilionea" kwa wale machalii zangu. Kuna Bilioneas ambao hawahitaji...
3 Reactions
37 Replies
10K Views
Askofu huku mtaani hueleweki! Mimi nilikuwa na imani sana na wewe lakini maelezo yako kwenye Press conference hayajanishawishi kuwa ile video ni fake! Najua kesho utaongea ulisema huku zinaingia...
9 Reactions
151 Replies
13K Views
Wanajamvi naomba msaada wa mawazo, kuhusu waya unaounganisha dish na decorder(antena). Nacho uliza je , ukichubuka tu unaweza poteza mawasiliano. Mana mm panya kuna kipande wamekitafuna sasa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…