Kuna Halmashauri

Kuna Halmashauri

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Wakuu nimetoka kuambiwa na jamaa m1 Kuna watu wanapita mtaani kukamata ama kufunga biashara kwa wasio na vitambulisho vya ujasiriamali hata kama una zungusha nyanya mtaani unashikwa biashara yako.
Binafsi nilichelewa kufungua nikaamua kwenda kwa jirani yangu kapinga Kua yeye hajawaona,
Sasa naomba kuuliza Kuna Halmashauri zimeanza kukamata kwa wasio na vitambulisho vya ujasiriamali huko?
 
Hii Inji ni ya Wenyewe

Wee ni Mpangaji tu,,
 
Usiichonganishe Serikali Ya Viwanda Na Wananchi Wake
 
Back
Top Bottom