Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Tunaishi maisha ya shida na ufukara mkubwa tangu Azori alipotoweka, familia haina msaada na hatujui kama yupo hai au alikufa, tunaomba Rais (John Magufuli) atusaidie mtoto wetu apatikane."- Mama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini? Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwenye makutano ya barabara hizo mbili Lumumba na Uhuru mnazi mmoja karaikoo Dar, kama taa zikizima magari yanapita vizuri sana Lakini pale tu taa zinapowaka au kufanya kazi msongamano...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
http://www.fikrapevu.com/ushauri-wa-mabosi-13-kwa-wafanyakazi-ambao-hawajafikisha-miaka-30/
0 Reactions
0 Replies
644 Views
leo ni too much. zaidi ya saa 1 kati ya Serengeti na lilipo daraja. tunajuwa mshakula 10% ila huu ni mshipa.
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Wakuu nadhan hamjambo Naomba Msaada wa kujua jins gan nitaona safari chanel kwenye simu Kama TV zingine maana nikiingia kwenye download application ya tbc siipati msaada wenu kwa wajuaji hili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maofisa watano wa Benki ya Ushirika Mkoani Kilimanjaro(KCBL)wamefukuzwa kazi kutokana na tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo. Waliofukuzwa kazi ni pamoja na aliyekuwa meneja...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mabweni ya shule ya sekondari wasichana Ashira,iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro yanateketea kwa moto. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi.Anna Mghwira amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) umetenga Shilingi Bilioni 127.3 kwa ajili ya kufadhili miradi ya kilimo nchini Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020. Rais wa...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Anaitwa sheick elhadj ibrahim huko Ghambia aliamua awalishe wasio jiweza kweli Rehema za mwenyezi Mungu ziko juu yake.
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa tulio wahi SHUHUDIA MISAFARA YA WAKUBWA WA NCHI wakiwa wanaenda mahali kwa kutumia barabara nadhani tutakubaliana wote kua hawa ndugu zetu wao wanakua Juu ya sheria wakati huu unapofika...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu naombeni ushauri. Nina simu mbili, zote za ni Smart. Mama na mpenz wangu wana simu za button. Wote waniomba hiyo simu kwa wakati mmoja. Nampenda sana mpenz wangu kiukweli ni kama rafiki...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
*TANZANIA ISIYO YA MAGUFULI, NAWAZA MAMBO KWA KINA, INGEKUWA VIPI?* *Na Mwamba wa Kaskazini, Nagarenaro, Arusha, Safarini Dar* MVUA zinaendelea kunyesha jijini Dar es Salaam ambako nimefika kwa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Salam wakuu, Anayefahamu shighatini na maisha ya pale kiujumla kwa mtu anayetaka kuhamia/ , jamii ya pale ipoje kiujumla
0 Reactions
31 Replies
5K Views
KOSA NAMBARI 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. KOSA NAMBARI 2 Usitumie pesa...
8 Reactions
16 Replies
5K Views
Jana nimechomoka saa mbili usiku kutoka ofisini kuelekea nyumbani, Gongo la Mboto. Ee bhana nimetimba nyumbani saa tano na nusu. Hiyo foleni ya Vingunguti mpaka kuvuka majumba sita sio kitoto...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Niende moja kwa moja ktk mada,kuna huu mtindo uliozuka sasahivi unaofanywa nawajinga wajinga ktk mitandao,wanawafundisha watu kudukua mawasiliano ya watu wao wakaribu.tena mwisho anakuambia...
1 Reactions
2 Replies
682 Views
Hakika hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa. Unawahamisha watu na kuwaonyesha ni wapi pa kufanyia shughuri zao ili kuweza kujipatia kipato cha kila siku. Nimeona machinga wa pale mwenge wameondolewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
By Goolam Mohamedbhai The Inter-University Council for East Africa (IUCEA) is a membership organization comprising about 100 public and private universities in the five East African...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…