Kuna hii tabia ya kusahau hela kwenye suruali ki ukweli nimejitahidi kuiacha ila kila nikijaribu ntaacha kwa siku mbili au tatu ila siku nikija kufua ni lazima nikutane na buku au ka jero kila...
IDADI ya watalii walioingia nchini imeongezeka kutoka 1,327, 143 mwaka 2017 hadi kufi ka watalii 1,505, 702 mwaka 2018 na ongezeko hilo limechangia kuongezeka kwa mapato yatokanayo na utalii...
Wakuu wa mikoa acheni kutisha watu.
Unasema wasiokuwa na vitambulisho utawafikisha mahakamani ati kwa kukaidi agizo la Serikali?
Wanapelekwa mahakamani kwa sheria na kuvunja au kutenda kosa gani...
Ni njia gani hiliyo bora itatusaidia kuondokana na hii tabia ya watu wanao jiusisha na mapenzi ya jinsia moja?
Tunaitaji jamii bora Mwanamke abaki mwanamke na mwanamme abaki mwanaume inapotokea...
UDHAIFU WAKO NDIYO MAFANIKIO YAKO.
Miaka mingi kabla ya kuwa maarufu katika ulimwengu huu kwa kutumia uwezo wake wa kuburudisha na kuchekesha umati wa watu kama muhusika mkuu katika mfululizo wa...
Mmeonesha ninyi si tu jukwaa lakutafuta website inayotembelewa sana kwa ma likes na comment Bali mnaenda mbali kuwa sehemu ya jamii kwa kutumia ushawishi wenu kutatua matatizo ya watu.
Swala la...
jaman ushauli please iko hivi;
Nina mahusiano na dada mmoja kiukwel n mzur kwa kila kitu kimapenz na muuonekano wa nje kiujumla safi kabisa ni mtoto wa kisure yupo serikalin tena kitengo...
Wengi utawakuta kwenye Mipira tu.
Kutoa ajira viwandani na mashambani kwa mishahara hafifu.
Mambo ya kiimani sana.
Matukio wako mbele kutoa msaada.
Huwezi kuona wanaNGO ya Kusaidia masikini...
Kulikua na ujenzi wa ofisi za BAKWATA ambao ulihamasishwa na mkuu wa mkoa wetu wa Dar na ujenzi ukazinduliwa na ahadi ilikua kufikia mfungo wa ramadhani mwaka fulani watu waanze kutumia wapitaji...
Dar es salaam ni mji ambao wakazi wanaongezeka kwa kasi sana uongezekaji huu ni kwa asilimia karibu 5 kwa mwaka.. kwa mfano mwaka 2019 idadi ya watu ni 6400,000 yaani hawa wanaishi dares salaam...
Kuna kitu nimegundua na nafikiri wamiliki wengi wa mabasi ya mikoani ama hawakijui au wanakipuuza.
Watu wengi tunaosafiri mathalani ruti ya Dar-Arusha hua tunachagua basi la kupanda kwa...
Maandiko matakatifu yanasema " Mtu asiyewajali watu wa nyumbani mwake, huyo ni mbaya zaidi ya asiyeamini.
Chukua kalamu piga hesabu, ukiona unachopeleka kanisani au msikitini ni kikubwa kuliko...
Sisi waafrika, watanzania na mataifa mengine ni HODARI WA UNAFIKI. Wazungu kinachowashinda ni UNAFIKI. WAO NI WA WAZI SANA.
Mwaka 1991 nlikuwa namfaham kijana mmoja shoga mtaani kwa jina la...
Katika pitapita yangu leo, nimekuta vipeperushi vilivyoandikwa na uongozi wa soko kuu Majengo ,linalo wataka kuwafukuza wadau wa soko (boda boda, bajaji na wabeba mizigo) kuondoka katika maeneo...
Imekua kawaida binadamu akipewa madaraka kutumia fursa hiyo kukandamiza wengine. Kufukia Juni 1 mifuko ya Rambo haitatakiwa kutumika tena. Kuna watu wamepewa dhamana ya kukagua mifuko ya rambo...
Aisee hizi sura zina mchango mkubwa sana katika kufanikiwa kuna baadhi ya sura hata zikiwa na ujinga ni rahisi kuaminiwa lakini baadhi ya wengi ambao tuna potential inside sura zetu zinatuangusha...
Moja kwa moja kwenye mada
Wakuu kuna mdogo wangu ameamka asubuhi akiwa amenyolewa nywele kichwani kasehemu kadogo kamviringo. Sifahamu aliyemnyoa na nafikiria kuwa amenyolewa kichawi...
Je, hii...