Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hazina bhana. Watumishi wa umma tunateseka na kuyumbishwa sana. Mwanzoni kabisa ilikuwaga mshahara ni kati ya tarehe 29 -30. Tulizoea tukaridhika. Baadae wakaboresha ikawa tarehe 25 lazima kitu...
5 Reactions
74 Replies
8K Views
Habari zenu Wana JF, Nilibahatika kutembelea Kigoma miezi michache iliyopita nilitembelea maeneo kama Mwanga Buzebazeba lakini haswa nilitembea sana sehemu inaitwa Ujiji nikajionea haya; 1...
10 Reactions
135 Replies
22K Views
Ninaomba mtu anisaidie kupanga bajeti ya mfanyakazi anayelipwa mshahara wa kima cha chini ambacho ninafahamu ni 350,000/=tsh.wakati mtumishi huyo amepanga chumba mjini na ana mke na mtoto 1.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri mimi ndo mara ya kwanza kwenda mkoa wa Kasskazini kwa machalii wa Arusha Nipande gari gani zuri la luxury ndugu zangu, hebu nipeni mawazo kwa wale wazoefu
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Hatimaye mwali aliyekuwa anasubiriwa kwa hamu kubwa leo jioni ametua ndani ya ukumbi. Mida ya saa mbili nimefunga zangu kakibanda changu cha Mpesa na kupanda daladala kuelekea kunako mitaa yangu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rank Country (years) 1 Monaco 89.52 2 Japan 84.74 3 Singapore 84.68 4 Macau 84.51 5 San Marino 83.24 6 Iceland 82.97 7 Hong Kong 82.86 8 Andorra 82.72 9 Switzerland 82.50 10...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
POLISI wilayani Nkasi katika mkoa wa Rukwa inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kirando mwambao mwa Ziwa Tanganyika, Venance Kasolo(17) kwa kosa la kumpa ujauzito...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za muda huu waungwana ni imani yangu kwamba wote ni wazima. Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.Wahumini wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Shirika la afya duniani WHO, limezindua mkakati mpya unaolenga kupunguza vifo na majeraha yanayotokana na kung’atwa na nyoka, huku likionya kuwa ukosefu wa dawa za kuuwa sumu kunaweza kusababisha...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Umiliki wa ardhi Afrika uliingiliwa na utawala wa kikoloni. Baada ya kupata uhuru nchi nyingi zilishindwa kurudisha ardhi kwa wananchi. Kutokana na misimamo imara ya Baba wa Taifa Tanzania...
9 Reactions
66 Replies
5K Views
Sipendi communism, napenda Capitalism, I don’t like Xi Jinping, I like D.Trump. Long live Capitalism, sitaki Huawei, piga marufuku Huawei TZ, ...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana jf, hususan wakazi wa MLANDIZI -kibaha karibuni tujadili tarafa hii maarufu Sana Tanzania, ya MLANDIZI, maendeleo yake, vitongoji Vyake na Kata zake Karibuni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda...
2 Reactions
130 Replies
12K Views
Ndugu wana jamvi salaam! Ndugu zangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza napenda kwenda moja kwa moja kwenye lengo mahususi la uzi huu kama ifuatavyo April 27,2019 serikali kupitia...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nawatakia heri njema waheshimiwa, niwie radhi ninaombeni mwenye kujua link ya mada hio ilio wahi kuletwa hapa jamii forum. Kisa chenyewe ni kama kesi ya mauwaji ya kijana aliejirusha kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisafiri na ATCL mara kwa mara. Nimekuwa nakerwa na watangazaji wao wa flights wanavyo litamka jina la Taifa letu. Wengine Air Tanzenia, Wengine mkazo sivyo.Wageni wanashangaa nchi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Benefits of Zircon -Baikrantamoni Benefits and Uses Married life or love of a person is controlled by Venus. This stone strengthens the Venus and brings in passion, understanding, romance and...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Joseph Salun (28) mkazi wa Kijiji cha Mwakwaru Ngalitati katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro amefukua kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa miaka mitatu...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Kwa vyanzo vya nishati tuliyonavyo sizani Kama kuna haja ya kutumia nguvu kubwa kwenye mfumo wa umeme unaosua sua kwa muda mrefu Sasa. Tuna gesi ya asili, nishati ya jua, tuna upepo lakini...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ni sehemu maarufu sana kwa uuzaji wa Pilau kwa eneo la Magomeni. Kwa madalali wa magari,dereva taxi, bodaboda na hata watu wengine mbalimbali watakuwa wanalifahamu eneo hili. Mwezi mmoja...
5 Reactions
49 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…