Si JKT Tu Interview Nyingi Nchini Sass hivi Ni Batili

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Swala hili lifuatiliwe kwa ukaribu na wahusika ni afadhali jeshini wameliona hilo. Lakini hali ni mbaya mno na yote hii inachangiwa na hali mbaya Ya uajiri nchini. Watu wasio na ajira wanaongezeka kila uchao! So popote zikitokea nafasi watu hutaka kuchomeka ndugu zao na jamaa zao na waliotoa rushwa kitu kinachosababisha kupatikane watendaji wabovu!
Ndio kisa tumeshuhudua watumishi wengi wa serikali miaka miwili hii wamepoteza maisha kutokana na madereva waliopenyezwa kazini!
Mfano wiki iliyopita ilifanyika usahili pale NIT wa shirika kubwa tu ktk fani Ya udereva.. Kilichotokea tuliitwa watu 421 kufanya mtihani ili wapatikane watu 35.sasa hiyo ratio tu ilitupa Shaka nyingi.. Ikaonekana tu kuna mazingira fulani yashafanywa pale
Nalipongeza jeshi kwa swala la jkt kuliona hili.
 
Write your reply...Sasa kama nafasi ni 35 wewe ulitaka ziwe ngapi?
Ktk Hiyo 35 hapo hapo kuna watoto ndg
na jamaa za wafanyakazi,
Hapo hapo kuna vibarua wanatengenezewa njia
Hapohapo waliotoa chai nzito
Sasa wewe unaejivunia vyeti na uzoefu tu utapenya vipi?
 
Back
Top Bottom