Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuweni serious kwa kweli.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
2,000
Yaani hiyo request for loan statement yenu mliyoweka kwenye tovuti yenu hivi mnajua kama iko active? Au mmeweka ili mradi eti mmeonesha ubunifu wenu?.

Yaani mtu unaandika details zote zinazohitajika unakaa kusubiria ulichoomba hakiji.

Mnamwambia mtu aandike chuo alichosoma, je akiandika jina la chuo kinyume na lililoko kwenye mfumo wenu? Hamuoni yawezekana ndio likawa tatizo la mfumo kushindwa Ku retrieve data alizoomba due to ya mismatch??????

Ushauri wangu ni kwamba mnatakiwa kuweka DROP DOWN menu ya kuchagua chuo . Hii itasaidia pia mtu kuandika au kutokukosea kuandika jina la chuo.

IMG_20190719_080015.jpeg
 
michibo

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
2,077
2,000
Hizi tovuti kwa taasisi nyingi tu hasa za umma ni uchuro, hiyo pesa bora itume kwenye namba hii.... jina Michibo.
 
byakunu

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
264
500
Yaani hiyo request for loan statement yenu mliyoweka kwenye tovuti yenu hivi mnajua kama iko active? Au mmeweka ili mradi eti mmeonesha ubunifu wenu?.

Yaani mtu unaandika details zote zinazohitajika unakaa kusubiria ulichoomba hakiji.

Mnamwambia mtu aandike chuo alichosoma, je akiandika jina la chuo kinyume na lililoko kwenye mfumo wenu? Hamuoni yawezekana ndio likawa tatizo la mfumo kushindwa Ku retrieve data alizoomba due to ya mismatch??????

Ushauri wangu ni kwamba mnatakiwa kuweka DROP DOWN menu ya kuchagua chuo . Hii itasaidia pia mtu kuandika au kutokukosea kuandika jina la chuo.

View attachment 1157010
TAKATAKA HIYO WEBSITE YAO HAINA CHA MAANA. Hapo utaweka details zako na usipate meseji kwenye simu au kwenye email. hakuna wanachokujibu. Pumbavu zao..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom